Moderators na wanaJF wenzangu mtanisamehe, najua hii ilipaswa kuwekwa kule kwenye forum ya Technology.
KWAKUWA najua kuwa jukwaa hili lina visitors wengi sana kuliko kule.
KWAKUWA nafahamu kuwa...
Colleagues, I strongly feel that being anonymous and faceless should not make us heartless and careless. First & foremost we should appreciate that we are talking about sad situation that befallen...
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Milton Mahanga
Mapango makali yaliyozuka jana nchini Zambia, katika eneo lisilo la mwenyewe (No man's Land), jirani na...
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza...
Mimi katika mtazamo wangu tamaduni kama hizi, watoto wa watu kuwaweka nusu uchi, wanaoangalia ni wananume siuafiki, sielewi ni ushamba umenizidi au ni ulimbukeni. nisaidieni
Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, unahitaji jumla ya Shilingi bilioni nne (sawa na dola milioni 3.7 za Marekani) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi na makazi ya kudumu ya balozi.
Ubalozi...
Katika hili una maoni gani kwa Rais kikwete na balaza lake la mawaziri?
Hukumu ya TRL leo
na Betty Kangonga
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kukutana na Baraza la Mawaziri kwa ajili ya...
Magari yakwama, trekta layakwamua
Helikopta ya jeshi yaitwa kuokoa jahazi
Ziara ya Rais Jakaya Kikwete kwenye kata ambayo haijawahi kutembelewa na rais yeyote tangu Tanzania ijitawale, juzi...
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST
MATUMIZI ya fedha kwa ajili ya kujiweka katika nafasi nzuri kuteuliwa kugombea ubunge katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) yameshika kasi miezi minne kabla ya uteuzi rasmi utakaodhibitiwa kwa...
In a fitting show of solidarity for International Women's Day, First Lady Michelle Obama and Secretary of State Hillary Clinton made light of the brutal 2008 battle Clinton conducted to defeat...
Mara ya kwanza sikuamini kama kweli TUCTA wamedhamiria kutomwalika Rais na zaid wametangaza MGOMO wa wafanyakazi wote Tanzania.
Mimi ni mfanyakazi pia, sina tatizo na sababu walizozitoa kujustfy...
Ndugu zangu
Kuna tukio limetokea hapa Sinza maeneo ya Mapambano njia ya nyuma kama unaenda Mwenge kwenye miti mirefu bar moja inaitwa kwa jimmy .
Kuna vijana 2 walikuwa wanatembea njiani...
When house help is HIV-positive
Published on 06/03/2010
Related Stories
By Hellen Miseda
You leave your most precious possession your child in her care although you may not know much...
Mwananke Habiba Bilali wa Temeke alifikishawa mahakama ya kariakoo jana kwa kosa la kuingia ikulu ya Dar bila ruhsa. Alipoulizwa alikiri kuwa anataka kuwa rais mwaka huu na kaongozwa na Mungu kuwa...
Friday March 12, 2010
Local NewsGrooms death in police hands sparks row
BY FAUSTINE KAPAMA, 11th March 2010 @ 11:07, Total Comments: 0, Hits: 331
THE Police have come under fire again after a...
Kuna ajali mbaya kila kuchapo hapa nchini mwetu. Je, nani kati ya abiria, madereva na matrafiki ambao hawatimizi majukumu yao ipasavyo katika kuzuia na kumaliza ajali hizi kabisa?