Ijumaa, Je ni kweli Siku ya Shetani?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
 
Hivi umesikia toka kwa nani UJINGA HUU??????????????
 
Baadhi ya watu wanaamini hivyo, inasemekana ni siku yenye balaa kwani wapinga kristo walimuua Kristo siku hiyo pia.
 
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?

Kumbuka pia Yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya Friday.....hii siku nuksi nini!!

Why Friday.

1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa Friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya Friday
6. Madeni mengi hayalipwi Friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya Friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya Friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya Friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya Friday, hasa pesa, laptops nk
 
Siku siyo mbaya...
Dunia siyo mbaya.....
Wanadamu ndiyo wabaya.....
Mungu ,according to Bible alizitumia siku zote saba,alifanya kazi siku sita jumapili mpaka ijumaa na jumamosi alipumzika.Na kila alichokifanya aliona kuwa ni chema including siku.
 
Binadamu wenyewe ndio wameifanya iwe hivyo. Lakini hata hivyo misosi, mitungi na mikasi havina siku maalumu.
 
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?

Hivi vyakula navyo ni anasa za shetani au kitimoto ndo cha shetwaniii?kwa wakristu ijumaa ni siku ya nzuri kwa maandiko yaonesha ndio siku ya Ukombozi wa mwanadamu...Jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu akamtoa mwanae wa pekee afe(ijumaa) kwa ajili ya wengi (sisi wanadamu)..so hii siku nadhan shetwani anaichukia mana wanadamu tulikombolewa
 
Inategemea na akili za mtu jtatu mpaka jpili zote zina masaa 24 ...usiku na mchana ..............
 
...."this is the day that the LORD has made, we will rejoice and be glad in it"..........:D
 
Kumbuka pia Yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya Friday.....hii siku nuksi nini!!

Why Friday.

1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa Friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya Friday
6. Madeni mengi hayalipwi Friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya Friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya Friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya Friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya Friday, hasa pesa, laptops nk

kwanini ikifika ljumaa sisi tulio Wakristo tunasema Thanx God its Friday?
Kwanini tusiseme ..ohhh my God, siku mbaya imekuja, Mungu tuepushe nayo?
 
,Inategemea na akili za mtu jtatu mpaka jpili zote zina masaa 24 ...usiku na mchana .............], First Lady, I have been following all your coments on JF. You have been so nice on answering and or commenting on issues, you lovely. How did the name Black september or Friday thirteen come from?
 
kwanini ikifika ljumaa sisi tulio Wakristo tunasema Thanx God its Friday?
Kwanini tusiseme ..ohhh my God, siku mbaya imekuja, Mungu tuepushe nayo?

Refer my post above....ni siku ya kukombolewa mwanadamu..thats y people thanked GOD!!!
 
,Inategemea na akili za mtu jtatu mpaka jpili zote zina masaa 24 ...usiku na mchana .............], First Lady, I have been following all your coments on JF. You have been so nice on answering and or commenting on issues, you lovely. How did the name Black september or Friday thirteen come from?

Kuna maelezo mengi saana kuhusu hiyo siku naona tembelea kwenye google au other search engine u'll get all the details.
Friday the 13th, 'the most widespread superstition'
Friday the 13th occurs when the thirteenth day of a month falls on Friday, which superstition holds to be a day of bad luck. In the Gregorian calendar, this day occurs at least once, but at most three times a year. Any month's 13th day will fall on a Friday if the month starts on a Sunday.
http://en.wikipedia.org/wiki/Friday_the_13th
 
Siku siyo mbaya...
Dunia siyo mbaya.....
Wanadamu ndiyo wabaya.....
Mungu ,according to Bible alizitumia siku zote saba,alifanya kazi siku sita jumapili mpaka ijumaa na jumamosi alipumzika.Na kila alichokifanya aliona kuwa ni chema including siku.
wewe nani alikuambia jumamosi unayoijua wewe? mungu alifanyakazi siku sita na siku ya saba alipumzika. Ndio maana inasema ilikuwa siku ya kwanza ikawa usiku ikawa mchana. Nakuuliza nani kakuambia wkamba mungu alipumzika jumamosi? jumamosi tulijipangia sisi bwana kwa sababu zetu tu za kutambua mambo. na Ijumaa si siku ya nuksi ni siku ambayo binadamu alipashwa kufurahi kwa kuwa daraja liliumbwa upya kati ya Mungu na wanadamu nuksi ipo wapi? kinachofanyika ni shetani kuwatibua watu kwa kuwachomekea tamaa zao na kuzilipua kwa kuwa wanapumzika kuanzia ijumaa hadi jumapili usiku. kama unasikia utasikia wacha hadithi
 
hakuna siku ya shetani duniani ,siku zote za mungu sema binadamu ushetani wako ndio unakufanya uchague siku gani ya kufanya maovu.wewe kafanye ushetani wako siku yoyote unayojisikia hakuna atakaye kuzuia mkuu kama hivo vitu ulivyovitaja ni ushetani.
 
Back
Top Bottom