Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Itawasaidia 2010 mumchague nani... Julius Nyerere Chimwaga 1995. http://vodpod.com/watch/1244258-j-k-nyerere-dodoma-tanzania-1995
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM. Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sudan would accept separation, says President Bashir Omar al-Bashir faces a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa watawala ni wazuri kweli katika kubuni kero. Unatoka na gari lenye sticker safi ya insurance na road licence (ambazo kila mtu anajua zinachangia ktk pato la taifa). Halafu unasimamishwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU Daniel Mjema,Moshi: Date::1/16/2010 MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
FARAJA MGWABATI, 19th January 2010 @ 11:01, Daily News THE Parliamentary Public Organisations Accounts Committee (POAC), has summoned the Minister for Labour, Employment and Youth Development...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli jamani hivi ripoti mnayo maana mimi binafsi sijapata fulsa kuiona au sikuwa na bahati mwaka sasa unakaribia kweli siamini kama inawezekana katika zama hizi. Mwenye ripoti hiyo naomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukiangalia mfumo wa kuendesha nchi yetu na hata vikao vya wabunge na vile vya madiwani ambao kimsingi wanaweza kuwa ni wabunge kwenye ngazi ya Halimashauri ,utaona kuna tofauti kubwa sana haswa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya DRC imetangaza msaada wa dola za Marekani 2.5mil ili kuweza kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu zaidi ya laki mbili. Hata hivyo hatua hii ya Congo imezua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni katika hili kwani linanitatiza sana,Hivi ni kweli kwamba siasa ni ajira inayoendana na ukoo?Kwani mara nyingi naona kina Kennedys,Bushs,Kenyattas,Kikwetes,Kabilas...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WADAU KUNA MJADALA UNAENDELEA KUHUSU SHERIA MPYA ZA MAWASILIANO YA SIMU NA POSTA...KAMA KUNA MDAU MWENYE DETAILS ZA MUSWAADA ATUPATIE....NIMEPATA VIPENGELE VIWILI AMBAVYO VIMEKUWA MOTO KATIKA...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, Kati ya shughuli ninazozipenda sana ni kupanda miti. Mwaka huu wa 2010 nina lengo la kupanda miti ya kivuli na matunda (hasa miembe ya asili) isiyopungua 100. Kama Wana JF naomba...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
haijulikani kama ni kweli au uongo kuwa ukiwa nyumbani mkojo haukubani ila ukitoka tu nje ya nyumba yako hazipiti dakika kumi utausikia. mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ndio wimbo nlioamka nao leo. Maneno yake ni mazuri sana na yanaleta tumaini sana. Huu wimbo ni dedication kwa wale wote tunaokutana nao kijiweni kwetu pale darajani.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kondoo Azaliwa Akiwa na Sura ya Binadamu Kondoo aliyezaliwa akiwa na sura ya binadamuMonday, January 18, 2010 7:57 PM Kondoo aliyezaliwa nchini Uturuki akiwa na sura ya binadamu amewashangaza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
serikali ya libya yajitokeza kusaidia athari za mafuriko kilosa Kuwajengea Nyumba 200 Nyumba Waathirika Na Jovina Bujulu, Maelezo. Jamhuri ya watu wa Libya imetoa msaada wa vifaa mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
by Joseph Mihangwa HABARI kwamba mnajimu Sheikh Yahya Hussein ametabiri ya kuwa mwana-CCM yeyote atakayejitokeza kuchukua fomu kugombea Urais kumpinga Rais aliye madarakani, Jakaya Kikwete...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Sioti, ila naiona siku muhimu sana katika taifa letu yaja ambapo kila shule yetu ya msingi na sekondari itakuwa na umeme (pamoja na wa Jua) na televisheni katika kila darasa ambapo watoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa hisani ya Wavuti blog, na mtaarishaji na mpiga picha hiyo Dr Robert K, Naomba tujiulize nani wa kulaumiwa?? Wanasiasa wa Chama tawala na serekali yao, Wanasiasa wote, Watumishi na watendaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Jana nilitembelewa na jirani yangu mmoja na akanieleza kuwa watoto wake wawili wamefaulu mtihani wa darasa la saba na wamechaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Zinga iliyoko wilayani...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…