Hiyo Siku Yaja

Hiyo Siku Yaja

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Posts
187
Reaction score
0
Wakuu,

Sioti, ila naiona siku muhimu sana katika taifa letu yaja ambapo kila shule yetu ya msingi na sekondari itakuwa na umeme (pamoja na wa Jua) na televisheni katika kila darasa ambapo watoto wetu watakuwa wakifundishwa masomo yote kwa njia ya televisheni kwa kutumia Walimu waliobobea katika masomo yao huku walimu waliopo katika shule husika waki-play role ya learning facilitators.

Pia tutakuwa na High Quality National and District Subject Teams kwa kila somo husika.

Uzuri fedha za kufikia hatua na mapinduzi hayo tunazo, kinachosubiriwa ni uamuzi toka kwa viongozi wetu hasa wa kisiasa.

Pia naona kila kata itakuwa na National ICT Training Centre yenye computer angalau 300 kabla ya mwaka 2015 bila kusahau kila shule ya msingi na sekondari kuwa na angalau computer 50 ifikapo mwaka 2016.

 
Yote haya chini ya sisiemu?
 
Back
Top Bottom