Kondoo au mtu na kwa nini haya yanatokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kondoo au mtu na kwa nini haya yanatokea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Glucky, Jan 19, 2010.

 1. Glucky

  Glucky Senior Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kondoo Azaliwa Akiwa na Sura ya Binadamu
  [​IMG]
  Kondoo aliyezaliwa akiwa na sura ya binadamuMonday, January 18, 2010 7:57 PM
  Kondoo aliyezaliwa nchini Uturuki akiwa na sura ya binadamu amewashangaza mamia ya watu duniani na kuwa gumzo kwenye vyombo mbali mbali vya habari duniani.Kondoo huyo aliyezaliwa akiwa amefariki ana sura kama ya binamu lakini mwili wake ni kama wa kondoo.

  Kondoo huyo alizaliwa katika zahanati ya mifugo katika kijiji kimoja katika mji wa Izmir nchini Uturuki.

  Erhan Elibol, bwana mifugo aliyemzalisha kwa njia ya upasuaji kondoo aliyekuwa na mimba, alielezea mshtuko aliopata baada ya kuona kichanga cha kondoo kilichozaliwa kina sura inayofanana na binadamu.

  "Nimewahi kuona maumbile mbali mbali ya ajabu ya ng'ombe na kondoo, nimewahi kuona ng'ombe mwenye jicho moja
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,347
  Likes Received: 22,199
  Trophy Points: 280
  Huyo kondoo alitembelewa na popobawa
   
 3. D

  Darwin JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Veterinaries said that the rare mutation most likely occurred as a result of improper nutrition since the fodder for the lamb's mother was abundant with vitamin A, CNNTurk.com reports.

  In Zimbabwe, a goat gave birth to a similar youngster in September 2009. The mutant baby born with a human-like head stayed alive for several hours until the frightened village residents killed him.
   
Loading...