KESI ya mauaji ya mfanyabiashara Abdulbasiti Abdallah (21), yanayodaiwa kufanywa na mfanyabiashara wenye asili ya kiasia Vinoth Praven (23), imeahirishwa hadi Februari 9, mwaka huu.
Mbele ya...
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Haji Manara (Pichani), ametiwa mbarano jana kwa tuhuma za utapeli wa magari. GPL.COM ilimshuhudia kigogo huyo akiwa kituo cha polisi magomeni akihaha...
Timu za ivory coast na cameroon ambazo zilipitia tanzania na kenya
kwa ajili ya mazoezi hatimae zimeaga mashindano ya can angola
wakati ivory coast walianza wenzao cameroon wameaga jana kwa...
MWANAUME mmoja mkazi wa Manzese, jijini Dar es Salaam alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya mzazi mwenzie kumsusia mtoto wakati akiwa katika sehemu za starehe akijivinjari.
Mwanaume huyo juzi...
PORT-AU-PRINCE,Haiti
WAOKOAJI nchini hapa wamemuokoa mwanamume mmoja kutoka chini ya kifusi ikiwa ni siku 11 tangu tetemeko la ardhi liukumbe mji huu na kusababisha maafa makubwa.
Habari kutoka...
KAMPALA,Uganda
WAFUNGWA 42 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka jana katika gereza la Luzira nchini Uganda wamefaulu masomo yao ya kujiunga na Sekondari.
Habari zilieleza kutoka Kampala...
KANISA la Tanzania Assembles Of God (TAG) limetaja sifa za rais wanayemtaka katika Uchaguzi Ukuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Akitoa msimamo wa kanisa hilo Mbeya mwishoni mwa wiki...
Msoma mita wa Dawasco afikishwa mahakamani
Kuruthum Ahmed
MSOMA mita wa Kampuni ya kusambaza maji jijini Dar es Salaam(Dawasco), Chobines Mabega (38), jana alifikishwa katika Mahakama ya...
Leo Mkutano wa 18 wa Bunge unaaza mjini Dodoma ambao pamoja na kujadili na kupitisha miswada kadhaa, pia ripoti za utekelezaji wa maazimo mbalimbali ya Bunge itawasilishwa na serikali.
Mkutano...
NAILS IN THE FENCE
Make sure you read all the way down to the last sentence.
(Most importantly the last sentence)
There once was a little boy who had a bad temper. His Father gave him...
TUMECHOKA NASEMA TUMECHOKA NADHANI IFIKE WAKATI MTANZANIA ANAITAJI KUJILINDA MWENYEWE HATA KWA SILAHA YOYOTE
BAADA YA KUSIKIA POLISI WAKIUA WATU UKEREWE,WANAJESHI WAKIUA WATU ARUSHA HAKUNA...
Kama kipaji na utaalamu vingekuwa na jina lingine basi ingekuwa ni DJ MOSY ama Emanuel Moses Onasaa. Ni mzaliwa wa Africa ya mashariki mjini Dar es salaam nchini Tanzania.
Bali ya kuwa na vipaji...
MEDITATION NO. 438
Lord Ashtar and Archangel Michael
To Begin Monday, Jan. 25, 2010
We are Ashtar and Michael, here to give the Eagles the next meditation. Change is coming more and more quickly...
CCM Zanzibar kimewaonya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa chama hicho watakaounga mkono hoja ya kuundwa Serikali ya mseto, kinyume na azimio la Butiama la mwaka 2008, kwamba watachukuliwa hatua...
''Cutes good. But cute only lasts for so long, and then it's, Who are you as a person? That's the advice I would give to women: Don't look at the bankbook or the title. Look at the heart. Look at...
Jana katika kipindi cha jahazi kinachorushwa na redio clouds, Jamaa huyu kwa kusigina taaluma yake ya uandishi habari aliamua kutoa hukumu kwa watuhumiwa wa mauaji ya kijana Fundikira. Ndiyo...
jamani kunamatangazo yananikera sana kwani watoto wangu na wamajirani yamewaharibu kweli kweli lakwanza ni hili la zain linalosema weweeeeeee uhuru wa kuongea jamaa ananyuka anaanza kukata mauno...