Kapiteni G. Habash ...ni watuhumiwa au wauaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kapiteni G. Habash ...ni watuhumiwa au wauaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Jan 26, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Jana katika kipindi cha jahazi kinachorushwa na redio clouds, Jamaa huyu kwa kusigina taaluma yake ya uandishi habari aliamua kutoa hukumu kwa watuhumiwa wa mauaji ya kijana Fundikira. Ndiyo tunajua ya kwamba wale ni washukiwa wa mauaji lakini suala la kwenda mbali na kuwahukumu hawa washukiwa kwa kuwaita ‘wauaji’ ni kuwanyima haki yao ya kikatiba. Bwana Kapiteni ulikuwa ‘so maudlin’ katika kujenga hoja zako Wakati wa kuomba maoni ya wasikilizaji wako. Angalia usije panda Mbegu za chuki katika jamii na taasisi za umma.
  Let it be known that I am not condoning any evil action whatsoever but the rule of the law has to be observed.
   
 2. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Kisheria uwezi kuwaita wauaji,as mtu ataendelea kuwa innocent until proven guilty without reasonable doubts with court of law.So Gadner hakufanya vizuri ukichukulia ni mtangazaji katika redio ya watu.Lakini sometimes sheria hutumika kupindisha ukweli hivi wewe ukimshuhudia muuaji akifanya mauaji kwa macho yako,hata kama atashinda kesi sidhani kama itakufanya ushindwe kumuona au hata kumuita muuaji.Kwangu wale ni wauaji tu.
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti yoyote na jinsi Bw Zombe alivyokuwa akiandikwa na magazeti au kusemwa kwenye radio zetu?
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hata kama ningesoma sheria sidhani kama ningekaa niielewe na huu ukilaza wangu!!

  Hebu nijuzeni mtu akikamata bastola na kumshut mtu then huyo mtu akaendafia hospitalini- ataitwa muuaji au bado atakuwa mshukiwa?
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ni muuaji hyo duh!!!! MJ1 sema hata hukumiwa moja kwa moja mpaka taratibu za kisheria zifuatwe ndipo hukumu ifikiwe!!!!
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Oh kwa hiyo hadi ahukumiwe ndo tunaruhusiwa kumwita muuaji? Na akipata mwanasheria mzuri akashinda kesi ? Jamani mie hapana sheria sidhani kama ningeiweza!!
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu MO,

  Sheria inamaajabu yake na kuhielewa na kuikubali inabidi uisome vizuri. Mtu anaweza kumpiga risasi lakini akaweza kuionyesha mahakama kuwa alikuwa anajilinda au ameghazabishwa(provocation or self defense). Ukifuatisha haya mambo ya 'techincalities' basi itabidi kutulia kabla ya kuja na hizi prejudice au subjudice statement kwamba jamaa kaua etc.

  Ili kuwa kwenye 'safe side' ni bora kuiacha mahakama ifanye kazi yake.
   
 8. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  watu kama hawa ndio wanabaka taaluma...
   
 9. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  suppose akiamua kuplead 'self defense' au 'provocation' ? kukamatwa ukitenda kosa haimaanishi tayari wewe ni mkosaji. ebu soma hii kidogo kwenye wikipedia ' in flagrante delicto' upate flavour ya mambo ya sheria.

  I love this game found in the noble profession.
   
 10. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sasa hivi kila mtu anaweza kuwa mwandishi/mtangazaji alimradi anaweza kuchonga ngenga lake vizuri. Hivi watangazaji wangapi wa radio na TV zetu wameenda kozi? Isije ikawa hawa wanapeana kazi kwa kufahamiana tu na mkurugenzi basi.
   
 11. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tunajiingiza kwenye confusion kubwa sana kwa sababu hatuzaingatii rule of law. Mifano michache ni mob justice hii ni kukiuka rule of law, polisi kuuwa majambazi nayo ni kukiuka rule of law, raia mmoja kuchukua sheria mkononi hii ni kukiuka rule of law.

  Kama kuna uvunjifu wa sheria kinachotakiwa ni kuwapeleka wale watu polisi na poisi watawapeleka mahakamani. Kipindi chote hicho wataitwa watuhumiwa na wala sio wezi, wauaji au majambazi.

  Baada ya hukumu hapo ndipo itakapokuwa sawa kuwaita hivyo.

  Jamii yoyote iliyostaarabika rule of law ni dhana muhimu sana katika kuendesha nchi, vinginevyo kutakuwa na chaos ya hali ya juu. Fikiria mifano niliyotoa ni ya jinai.

  Tukija kwenye madai ndo balaa, unadaiwa kodi mabaunsa wanakutoa kwenye nyumba mzobemzobe, nakudai nakuja kwako nachukua chochote hata kama gharama yake ni kubwa kuliko deni.Dada yangu ananyanyaswa na mumewe naenda namzaba vibao mumuwe, naondoka na dadangu.

  Tuiheshimu na kuienzi dhana hii.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksanteni sasa nawezaielewa hii taaluma ya sheria japo katika kipengele hicho. Naomba nisiulize sana maana nawezaharibu hata hii elimu niliyoipata hapa.

  Captai -watake radhi kina mjeshi kwa kuwaita wauaji wakati bado hawajahukumiwa bado- wasijekushughulikia bure si unawajua hawa ni kama watoto mapacha wanalindana!!
   
 13. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabla wewe na wengineo hamjaanza kumhukumu Gadena naomba mseme kama kataja jina la mtu. Kama hakutaja na tunajua kuna mtu kafa kw sababu amepigwa sasa hao waliofanya hivyo utawwaitaje? Wamesababisha kifo ni wauuaji period. Hakuna ku-sugar coat hapa. Haki ya kikatiba inapatikana tu kwa wanaotuhumiwa kuua? Vipi kuhusu haki ya kikatiba ya msingi kabisa ambayo ni kuishi? Pamoja na kuwtokubaliana na Clouds mara nyingi lakini kwa hili ni kuwa mahala fulani kuna watu wamehusika kuua naneno sahihi kwao ni wauaji.
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ndio sifa ya viredio vyetu!

  Wakati mwingine nashindwa kuelewa ikwa watu wetu wanafuata maadili ya kazi zao haswa katika swala zima la upashaji habari! habari kama hiyo mwanzo hadi mwisho imekuwa biaed kupelekea hata aho wanaosikiliza nao wachukue msimamo wa mtaoa habari; swali lina kuja ni kupashana habari ama kuambiana habari?
   
 15. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
   
 16. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  They were so emotional na hawakuangalia 'matters on perspectives'
   
 17. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  tuna tabia ya kusahau sana. Sakata la zombe magazeti karibu yote yalitoa hukumu kabla ya mahakam hata baadhi ya wana jf pia walifanya hivyo. Tuache double standards. Ndani ya jf tunahukumu wengi sana jee sisi ni mahakama??????
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  uwezi kumwita muuaji mpaka mahakama imtie hatiani na kuhukumiwa nado anakuwa muuaji
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  labda alishuhudia mauaji hayo ndo maana akawa na jibu moja kwa moja
   
Loading...