KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,574
- 8,592
Nauliza wakuu mimi najua Jahaz lilikuwa zuri sana wakati linaanza pale walipokuwa wakianza nakibwagizo cha Captaiiiiiiiin!!!Nainafatia habari za magazeti na porojo za hapa na pale!!Lakini sasa limeingiliwa na wajuwaji basi sijahazi limekuwa jakazi!!Kuna huyu Mdau anayeitwa Ephraym Kibonde,Nashindwa kumuelewa pale hasa anapokuwa anachambua mtu nakumhukumu mbaya zaidi uishia na kumtukana mfano utasikia wewe ninani katika nchii nenda huko na chama chakoukawambie mamako na mke wako na watoto wako!!kwakweli huwa nashindwa kuelewa jamaa nini malengo yake baadae!!Pengine uhisi anataka kumnyang'anya Mh,Chiligati nafasi yake katia chama cha CCM!Kibonde Tunamjua sisi pale Oyserbay pale mtaa wa Ali bin said tulikuwa tunakutana naye moja mbili tatu!!hakuwahivi haponyuma!!Sijui nini nadhani kunakitu kahaidiwa kwamba awe mpiga debe wa chama!!hakuna kazi ikakosa mpiga debe bwana kasema nani!!Juzi kati alimshambulia Mtikila,na kama yeye Mtikila alisikia najua kwa huruka ya mtikila angemfungulia mashitaka!!Mimi naomba apunguze kidogo kwani Ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka!Kapaah!!!!Kaptaiiiiiiin:thumb::amen: