Watoto wenye umri mdogo waota MAZIWA baada ya,...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wenye umri mdogo waota MAZIWA baada ya,...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisoda2, Aug 12, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni inasema maziwa ya kopo yanayotumiwa kuwapa watoto imegundulika kuwa inawafanya watoto kuanza kuota maziwa wakiwa wadogo sana kutukana na virutubisho hivyo.
  Haya tena bandugu kaaeni mkao makini na kula kula ya kitu ya China.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Tuache kula vitu vya madukani wakati tuna vyakula vyetu natural.
   
 3. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :welcome::welcome:
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ooh God natamani kutoa machozi tutawapa nini watoto wetu ??? kupata maziwa ya ng'ombe ya kukidhi mahitaji ya watoto sasa ni tatizo Kila kukicha mambo makubwa na magumu yanazidi kuongezeka:confused2::confused2:
   
 5. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Pole.........penye nia pana njia.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Hata maziwa ya ng'ombe siyaamini. Kwenye hayo maziwa kuna virutubisho vyote vinavyomfaa ndama........... na si binadamu.......... NDIYO MAANA SIKU HIZI TUNA MJITU YA AJABU SANA MITAANI....KISA MAZIWA YA NG'OMBE. UTALIKUTA JITU LINAFANYA MAMBO YA AJABU KUMBE MWENZENU ANAJARIBU KUONYESHA UNG'OMBE WAKE
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,322
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hayo matatizo yatawapata watoto wa kiume pia? au tusiwape watoto wa kike tu? Naomba ufafanuzi kwa hili tafadhali
   
 8. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 490
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana kwa taarifa hii, lakini sasa habari hii naona kama haijitoshelezi au hicho chanzo cha habari ulikotoa hii habari hakikufuatilia kwa ukaribu zaidi juu ya hayo maziwa, maana tulitegemea kuambiwa maziwa yanayojulikana kwa jina fulani au hata wangetuambia kiwanda , batch number n.k ili iwe rahisi kuyatambuwa, ukisema tu maziwa ya kopo inakuwa haieleweki kwani kuna maziwa mengi sana ya kopo, vinginevyo iwe ni maziwa yote ya kopo,
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,876
  Likes Received: 36,933
  Trophy Points: 280
  Vyakula vya Wachina ni vya kuogopa kama ukoma.
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0


  haaaa...haaaaa
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Thomaso.
   
 12. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YESU RUDI HARAKA KABLA hatujazaa watoto waliovunja ungo na kubalehe wakiwa tumboni...kwa wanawake wanaota maziwa haraka haya kwa wa kaka?
  mix with yours
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,357
  Likes Received: 5,090
  Trophy Points: 280
  Dada 1stLady1
  hapo kwenye nyekundi vilevile ni balaa, maana hata hao ngombe wanalishwa madawa ya kila aina ili watoe maziwa mengi, tunakula sumu kila kona
   
 14. N

  Ngala Senior Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni balaa kila kitu kitimoto wanalishwa arv kuku wanapewa vidonge vya uzazi wa mpango n`gombe wakitwangwa machanjo ya kuzuia maradhi hawatakiwi kukamliwa mpaka baada ya siku tatu je ni mfugaji yupi anayeyakubali masharti hayo aache kuingiza maziwa sokoni kisa sindano?? natuombe mungu tuu wandugu kila kitu ni hatari sijui tutaponea wapi
   
 15. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,254
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Dah hii mada imenifurahisha saaana,basi kama mambo ni hayo bora tukamue maziwa ya ngamia tunywe!
   
Loading...