Kuna ubaya gani?

Kuna ubaya gani?

Nadhani ni halal, ni ishara ya upendo, ukaribu na uaminifu pia!
 
Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu?

Itabidi uvumilie mengi...........Maana kuna siku nitaanza kumtongoza.....usije ukaanza kujibu wewe............maana nitaona U-turn ya majibu.....tehe .......tehe...........
 
Pazito hapo.
Hivi Jamii Forum wamesha anza kuuza user ID hadi mshee ID moja?
 
Back
Top Bottom