Pata Picha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
 
Unaendelea kukata gogo kwa raha zako mana ile ni starehe tosha mwana!
 
Bila kujiosha wala nini unachapa mwendo kwa kasi ya kimbunga

kujiosha muhimu bwana, ukimaliza kukata gogo tartiibu tena kwa kujiamini, unachukua maji/karatasi/kigunzi/jiwe/majani ya miti unajisafisha then huyoooo..... nduki. haufichi sehemu yoyote ya mwili, kila mtu si ana mwili?
 
Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
Yaani hiyo ni kama ni kama umefumaniwa wakati unaachia mkojo wa uzazi........... HAKUNA KUKATISHA NI KUMALIZIA TUU..................
 
Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
Naona wewe unaleta utani hapa, unajua hivi vitu vipo kweli in real life~Ha ha ha!.
 
Jamaa sijui kawaza nini hadi kutunga hii kitu hii.
Kweli humu ndani kuna great thinkers,
Maana siku yakija kukukuta kama hayo yaliolezwa ujue ni nini utakachokifanya.
 
Kabla ya shughuli hiyo unaangalia hali ya hewa - watumiaji wa vyoo hivyo ni wazuri wa kutabiri hali ya hewa, hivyo nawe utakuwa mzuri tu kwenye hilo na adha hiyo haitakukuta! Kwanza vilivyojengwa ni kwamba mlango huko kama kwa nyuma yaani ni style ya coil hivyo huwezi kuonekana! Na kwenye uelekeo wa mlango si ehemu ya kukaa watu wala watoto kucheza na mara nyingi ni nyuma ya nyumba!!
 
Mbele ya tumbo la kuhara kuna cha hali ya hewa?

Back
Top Bottom