JK fanya maamuzi magumu

JK fanya maamuzi magumu

BENSON MSEMWA

Member
Joined
Aug 10, 2010
Posts
30
Reaction score
2
Tafsiri ya maamuzi magumu ni pana,ila hapa nataka kuzungumzia uwazi wa jk kuwaambia watanzania ni kivip aliingia madarakani uchaguzi uliopita,akili kuwa yote mabaya watu wanayoyaongea kuhusu utawala wake ni sawa,akubali uwepo wa ombwe la uongozi,na atangaze kujitoa kwenye mbio za kuwania urais kama sehemu ya mapenzi yake kwa nchi
 
He will never do that. He loves the pomp and circumstance that goes with the title, the freewheeling travel, the hobnobbing with international newsmakers. He will never do that.
 
He will never do that. He loves the pomp and circumstance that goes with the title, the freewheeling travel, the hobnobbing with international newsmakers. He will never do that.

Yes he loves these pecks that go with the title but the guy chickens out when he is called upon to debate other presidential aspirants; fearing that his weaknesses will be exposed!! He is a political con-man.
 
Hivi kuna mtu bado ana matumaini na 'Dr. Mkwere' ? kazi hipo.
 
wa kufanya maamuzi magumu hapo nani?
 
Back
Top Bottom