Waumini zaidi ya 300 waliojazana kwenye kanisa la mchungaji Martin Ssempa la mjini Kampala nchini Uganda, walishuhudia sinema ya ngono kanisani wanaume wakiwainamisha na kuwaingilia kinyume cha...
PUZZLE OF brothers and sisters , daughters and sons
In the Santa family, each daughter has the same number of brothers as she has sisters.
Each son has twice as many sisters as he has...
Masikini Tanzania yaani kila nikikaa, nikilala,nikitembea najiuliza kwanini nilizaliwa Tanzania? Kwani kila kukicha utasikia huyu kafanya hivi huyu kafanya vile lakini sheria hawachukuliwi...
Naileta kwenu wana JFs....
Ever wondered how hard we work to fill our life with luxuries that we hardly have time to enjoy.
LOOK AT IT THIS WAY... The luxury Cars, Toyotas, Land Cruisers...
Askari wa kikosi cha mgambo cha manispaa ya Kinondoni ambaye hadi sasa amefariki baada ya kupigwa na kitu kizito leo asubuhi walipo kuwa kwenye operesheni ya kuondoa vibanda vya wafanyabiashara...
CHAMA cha CUF kimewataka Watanzania kuiogopa serikali inayoendesha kazi zake kwa kuwatumia wanajimu wanaotishia kufa watu.
Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba alisema hayo kwenye...
Anti-retrovirals could halt Aids spread in five years
South Africa has the world's highest incidence of HIV/Aids
Anti-retroviral treatments (ARVs) and universal testing could stop the...
Hii ni hoja binafsi ambayo leo nataka kutafakari pamoja kati ya vitu hivi viwili vinavyochanganya. Napenda kuzungumzia kitu kinaitwa 'Binadamu wa kwanza'. Wakati vitabu vyetu vya dini vinatuambia...
SERIKALI jana imetoa msimamo wake kuhusiana na chenji ya Pauni milioni 28 ambazo zinatarajiwa kurejeshwa nchini na serikali ya Uingereza baada ya kubainika kwamba Kampuni ya British Aerospace...
A modern way to send off the deceased
These days, funeral service providers do all the organising from pall bearers to the church funeral service, to transporting the body.
By Connie Nankya...
Mbona manchuchanganya ?Mara ni Mungu mara ni mtoto wa Mungu leo hii tunapewa tarifa mpya kuwa jesus alikuwa Jirani .twambieni lipi kati ya hayo ni la u kweli ...
Wakuu wenye Kufahamu hili jambo naomba tufahamishane.
Hivi Hii website Ya Air Tanzania Iko Kwenye Ukarabati Kwa Muda Gani?
Maana Mara Yangu Ya Mwisho ilikuwa ni Mwaka Jana September...
Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima,
Leo kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi...
Nimekuwa nikistajabishwa na hili tangazo la kwenye luninga ambalo lina waonyesha katuni wakizungumzia jinsi ya kujikinga na Malaria kwa kutumia chandarua chenye dawa.Kinachonishangaza ni kuwa...
V-P: 50 pct of Tanzanians lack clean, safe water
By Dominic Nkolimwa
19th February 2010
Vice-President Dr Ali Mohamed Shein.
More than 50 per cent of Tanzanians have no access to...
Katika hii link hapo chini kuna television za nchi nyingi sana ,isipokuwa Tanzania siioni,television zote na baadhi zipo live kabisa ,wausika kama mkisoma apa basi ni bola mkafuatilia na kutuungia...
Siku za karibuni jamvini kumekuwa na malumbano ya kidini yasiyo na idadi.
Je nini faida ya malumbano haya?
Mi naona hamna mafundisho yeyote isipokuwa ni kukashifiana na kubezana.
Habari wana JF nimepigiwa simu na Best yangu analalamika sana kuhusu hizi Blog zinazoitwa za Jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa...
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo...