Video ya ngono kanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya ngono kanisani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Glucky, Feb 22, 2010.

 1. Glucky

  Glucky Senior Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 124
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Waumini zaidi ya 300 waliojazana kwenye kanisa la mchungaji Martin Ssempa la mjini Kampala nchini Uganda, walishuhudia sinema ya ngono kanisani wanaume wakiwainamisha na kuwaingilia kinyume cha maumbile wanaume wenzao.

  "Angalia mwanaume huyu anakula uume wa mwanaume mwenzake", alisema mchungaji Ssempa akitoa maelezo juu ya kipengele kimoja cha video hiyo.

  "Je ni haya kweli Obama anataka kutuletea barani Afrika?", alisema mchungaji huyo kufuatia kauli ya Obama kupinga sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda na kutaka mashoga nao wapewe haki zao.

  Mchungaji huyo aliamua kuionyesha sinema hiyo kanisani katika kutafuta kuungwa mkono juhudi zake za kutaka sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda.

  Sinema hiyo ilionyeshwa siku ya jumatano na kuangaliwa na waumini wengi baada ya polisi nchini Uganda kuyafuta maandamano ya watu milioni moja yaliyokuwa yafanyike kuuunga mkono muswada wa kuwahukumu kifungo cha maisha mashoga.

  "Tulikuwa tumepanga wanaume na wanawake milioni moja tuandamane kwenye jiji la Kampala lakini tuliambiwa kuwa hatuwezi kuandamana kutokana na sababu za kiusalama", mchungaji Ssempa aliwaambia waumini wake.

  "Hivi mnajua ni vitu gani wanavyofanya mashoga wanapokuwa kwenye vyumba vyao?", alisema mchungaji huyo na kuanza kuwaonyesha waumini wake picha za ngono za mashoga.

  Mchungaji huyo aliweka video ya picha zinazoonyesha wazi wazi jinsi wanaume wanavyowaingilia wanaume wenzao.

  Serikali ya Uganda imekuwa ikipata upinzani mkubwa toka nchi wafadhili ambazo baadhi zimetishia kusitisha misaada yake iwapo Uganda itapitisha muswada wake wa kuwabana mashoga na wasagaji.

  Katika mojawapo ya vipengele vya muswada huo, watu wanaowakodisha nyumba mashoga na wasagaji nao pia watakumbana na sheria na watafikishwa mahakamani.

  Baadhi ya mashoga watahukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha cha maisha na wengine adhabu ya kifo kama muswada huo utapitishwa.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  No coment
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Mwaga Mboga - Nimwage Ugali!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,934
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Sodoma na Gomorah
   
 5. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo mchungaji kajitolea mhanga kwa kuelimisha wanajamii kuhusu athar za ushoga na mashoga.Nenda Kenya kuna kanisa na mkono wa mungu ambalo linapokonya wake za watu na kuwaozesha watumishi wao kwa kisingizio cha imani,hii hatari.Rejea kipindi cha Jambo Tz TBC1 leo
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  sasa hapo siatawatamanisha wengine kujaribu jamani kwann afanye live kanisani jamani
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Du kaazi kweliweli
   
 8. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hekima ilikosekana hapa
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ni biashara za ushindani hizo.............................. kwani rwakatare hawaonyeshi misukule kanisani??????????????????/, kakobe je?, mwingira je?, mzee wa upako je? etc.................

  be fair please.........................
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Kali ya kufungulia mwaka
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,986
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Ana-boresha mahudhurio kanisani kwake... J'pili ijayo atawatoza kiingilio...
   
 12. M

  Magehema JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 449
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nitazima jiko kabisa!
   
 13. m

  muhanga JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jamani ualimu ni kazi kweli, ni taaluma kama zingine. huyo anajaribu kufikisha ujumbe lakini nadhani njia anayotumia yaweza kuwa si sahihi! sipati picha ngono za jinsia moja kanisani. but anyway, uhuru wa kuabudu, na hata uhuru wa kuchagua cha kuabudu!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...