Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

US, Brazil seek patent to Tanzania sorghum There is growing trend where global firms are patenting African food crops like sorghum. Photo/LEONARD MAGOMBA By MIKE MANDE and ABDUEL ELINAZA THE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokana na hali ya kisiasa kuwa mbaya kwa ccm ndani ya manispaa ya kinondoni kwa chama cha upinzani kuja juu namaa nisha (chadema) manispaa wamekaliwa kooni na ccm kufanya kila mbinu kuimaliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika lile sakata la mafisadi wa elimu Tanzania, nashindwa kuelewa hasa kazi ya tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) ni nini? Jana Prof. Mayunga, boss wa Tanzania Commission for Universities...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
  • Closed
Watanzania wanawaogopa sana watumishi wa ldara ya usalama wa taifa. mkikaa kwenye vikao vya pombe, mtu akinyoosha kidole kuwa yule fulani ni afisa usalama, amani inatoweka, mazungumzo yanabadilika...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
BAADA ya binti kutoweka nyumbani na kutopatikana kwa takribani wiki na zaidi nyumbani, baba wa familia {jina kapuni} ameamua kumtimua mke wake akamsake mwanae kwa kudai anajua binti huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA ya kuona mke wake anamsimamo wa kuomba talaka na kumwambia kuwa ataonyesha meseji hiyo kwa mshenga ili ionyeshwe kwa wazee kama uthibitisho, mume huyo aliamua kumuomba radhi mke wake na mke...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gharama za kuweka mawakili kwenye kesi mbalimbali ni kubwa hivyo wananchi wa kawaida wamekuwa wakishindwa kuzimudu. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na mjumbe wa mpango wa kutathmini utawala bora...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi, ameuawa katika mapambano na polisi baada ya majambazi kadhaa kuvamia hoteli ya kitalii ya Samaki Lodge eneo la Uroa Kusini, Zanzibar. Kamanda wa Polisi wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Awali ya yote ningependa kutoa salamu kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kuweza kukaa kimya na kuangalia nguvu kazi kubwa ikiwa inapotelea barabarani mbele ya kanisa la Kakobe. Hivi anawaonea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Have you tried everything that you thought was required to make you successful, resourceful, pragmatic, superior and yet failed? ‘No one goes alone to the heights of excellence. Wether your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi nimekutana na habari ya msaada wa USAID kwenye sekta ya kilimo katika gazeti la Mwananchi nikafurahi sana lakini furaha yangu hiyo ilizimwa na taarifa ya kusikitisha iliyopo ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi rais alizindua kampeni ya kutokomeza malaria (Zinduka) ambayo ilipambwa na burudani mbali mbali kutoka kwa wasanii tofauti tofauti wa hapa nchini na nje ya nchi, kilicho nishanganza kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Posta kama Ulayaaa kudadeki! Serikali imeanzisha mfumo mpya wa anuani na alama za siri za posta ambapo sasa watu watakuwa wanapokea barua na vifurushi majumbani mwao badala ya kwenda kwenye ofisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kuwa leo kuna tamasha kubwa sana la kampeni ya Zinduka kutokomeza Malaria.Na mkul uJMK atakuwa ndani ya nyumba,pa moja na burudani mbalimbali.Kweli kwani kwa sasa malaria ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
na Irene Mark MAHAKAMA Kuu kitengo cha Ardhi, Dar es Salaam, imetoa amri ya kukamatwa kwa Mtume na Nabii, Josephat Mwingira, ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Watumishi wa Ephata, kwa madai ya...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
WAFANYABISHARA wanne wa mbao wilayani Mufindi, mkoani Iringa, wanadaiwa kutaka kumpa Sh4 milioni , baba mzazi wa Nikson Kabonge, aliyeibuka akiwa hai wiki mbili zilizopita, baada ya kudaiwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Application ya scholarship ipo wazi mpaka March 31, 2010. Sifa za mwombaji: Kuwa raia wa nchi mwanachama wa Benki ya Dunia wanaotafuta kukopa. Kuzaliwa baada ya Machi 31, 1970. Miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ACCAs/CPAs, any comment? xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx I have a professional woman as my wife; a Certified Public Accountant. She uses LIFO method while taking out the refrigerated food. She...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania Federation: (Zanzibar + Tanganyika, and Federal Government): Hatutaki! East Africa Federation: (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanganyika): Tunataka! Baraza la Usalama lenye kudhibiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2010-02-13 10:34:00 Makerere University 'overtakes' Dar es SalaamBy Samuel Kamndaya THE CITIZEN Uganda's Makerere University has dislodged the University of Dar es Salaam (UDSM) from its...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…