Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
kutokana na hali ya kisiasa kuwa mbaya kwa ccm ndani ya manispaa ya kinondoni kwa chama cha upinzani kuja juu namaa nisha (chadema) manispaa wamekaliwa kooni na ccm kufanya kila mbinu kuimaliza chadema ndani ya manispaa hiyo, hili limetokana na manispaa kukwepa kujibu hoja za chadema pale zinapo pelekwa na viongozi wa juu wa chama hicho wa mkoa wa kinondoni, katika hali ya kushangaza manispaa hiyo inakaa vikao vya siri na makada wa ccm ilikuangali wapi waisaidie ccm kwa sasa ndani ya manispaa hiyo inayoshambuliwa na vijana wa dogo kabisa wa chadema wa kiongozwa na m/kiti pamoja na katibu
hili liejitokeza juzi katika kata ya goba ambayo cha chadema kina nguvu kwenye jimbo la ubungo na kuamua kuiondoa kata HIYO na kuipeleka bunju bila kushirikisha upinzani kwa kuogopa maswali ya upinzani na kuamua kukaa watu wenye ufinyu wa fikra wasiyo fikira mbali wanao angalia ya leo, kesho hawajui itakuwa vipi, vile vile chama cha chadema kiliistukia ishu nzima na manispaa wakashangaa taarifa imevuja vipi, na mkurugenzi wa manispaa hiyo kwa sasa anakikwecha chama chadema kila kukicha,