Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miezi 30 na kufanyishwa kazi ngumu baada ya kukiri kubadilishana watoto wawili kwa ndege aina ya Kasuku Kishungi...
BAADA ya siku chache toka sakata la kuchomwa sindano kwa mtoto na kusababisha mkono huo kuoza na kukatwa wananchi wafika katika hospitali hizo kuonana na uongozi wa hospitali hiyo...
Dr.Slaa na Shelukindo walikuwa ufufuo na uzima kujionea misukule kwa macho yao leo pia Shelukindo amesema ametumwa na rais aseme kuwa nae JK atakuja mwenyewe kujionea
Ndugu zangu
Jioni hii rafiki yangu mmoja amenitumia Barua pepe akilalamika kuhusu Maji machafu yanayopita Kwenye mabomba makubwa chini ya ardhi kwenda kumwagwa baharini , rafiki yangu huyu...
Recently the Traffic depertment of the Police force requested all passenger buses plying up-country routes to ensure their vehicles are fitted speed limiters as one of the strategies to cubr road...
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui...
MAHARAMIA wa Kisomali wameiteka nyara meli ya mafuta karibu na Madagascar ikileta mafuta nchini na kuipeleka pwani ya Somalia, wamiliki wa meli hiyo wa Norway wameiambia Reuters.
Meli hiyo...
jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata...
Kumekuwa na kawaida ya kuufunga mche wa Mpapai Gunzi wakati ukiwa unakua kwa imani kwamba kwa kufanya hivyo kutaufanya mpapai kutokuwa dume (kuzaa mapapai). Kawaida hii nimeiona sehemu nyingi...
Wakuu waswisi wanapiga kura za maoni kuamua kama wanyama wawe na wanasheria wa kulinda haki zao. So funny, wamefikia hatua ya kutaka wanayawa wawe na haki ya kuwakilishwa na wanasheria. wakati...
jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea...
Wangwe Wangwe (22) of Kimusi sits on his bed at the Tarime District Hospital yesterday. Suspected bandits descended on him and several other residents of the village at a wedding party at Mwita...
Just days before Valentine's Day, an Asheville man and his wife of 46 years got a sweet surprise - to the tune of $141.4 million. Frank Griffin of Asheville, a retired firefighter with over 20...
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Agrey Mwanri.
Winara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema imebaini matumizi mabaya ya fedha katika...
Na Mwandishi Wetu
Mchecheto wa Uchaguzi Mkuu 2010 umeanza kushika kasi, mpya yenye moto ni kuwa baadhi ya wagombea nafasi ya ubunge walioweka kambi yao Dar, wamechanga shilingi milioni 40 na kuita...
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema hakuna mpasuko miongoni mwa viongozi wa umoja huo kama ilivyoripotiwa na gazeti moja la kila wiki la Mwanahalisi katika toleo lake namba 178...