wauguzi wa mwananyamala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wauguzi wa mwananyamala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by indigwe, Mar 7, 2010.

 1. i

  indigwe Member

  #1
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea dozi, hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na wauguzi wa aina hii?
   
 2. i

  indigwe Member

  #2
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du hii nchi kuna baadhi ya maeneo yanatisha kama huna pesa suala la huduma bora sahau na hasa katika hospitali zetu za akina kayumba
   
Loading...