1. Lift/ elevator:
majengio yetu mengi lift zake zinagoma goma, pia umeme ukikatika ni nooooma ile mbaya.
2. Ngazi za dharura
majengo mengi hayanga ngazi za dharura, likitokea janga lolote...
Habari wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa askari mmoja Inspekta Lucy wa Makao makuu kitengo cha Interpol amegongwa na Gari linalosemekana la mhasibu wa polisi alipokuwa akisubiria gari...
ndege moja ya abiria imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu.
Mwenye Habari zaidi atujuze
Jumapili ya Februari 20 sitaishi nikaisahau. Nilifika Mikumi National Park Jumamosi alasiri kwa mapumziko ya usiku mmoja kabla ya kuendelea na safari yangu ya Dar nikitokea Iringa. Usiku wa...
- Humans are the only animals capable of drawing a straight line.
- On average, an individual grows over 450 miles of hair in a lifetime.
- When a person smiles, 17 muscles are engaged.
- Human...
Mkazi wa Igunga, Abel Mkinga, amefichua uozo wa rushwa kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ukimhusu Ofisa wa Halmashauri ya wilaya hiyo...
Ofisa huyo (hakumtaja jina), amedaiwa kuomba rushwa ya Sh...
Wanadamu tumekuwa tukihangaika siku zote kupata mambo mema na hasa hasa mambo yanayotafutwa zaidi duniani ni mapenzi, pesa, mali, maisha bora, maisha marefu, maendeleo na amani na utulivu.
Mambo...
Jana katika kipindi cha Kumekucha cha ITV, kiongozi mmoja wa madereva wa mabasi alidai kuwa viongozi wa Tanzania Bus Owners Association (TABOA) wanakwepa kuwapatia ajira za uhakika madereva...
Nimesoma kwenye gazeti moja linalochapishwa mkoani kagera kila wiki liitwalo Malengo Yetu toleo la leo kuwa Ray C aliwatapeli wakazi wa mkoa huo kwa kumtumia dada anayefafana naye kwa sura kufanya...
BRECKENRIDGE, Colo. The already untidy mass of orbital debris that litters low Earth orbit nearly got nastier last month.
A head-on collision was averted between a spent upper stage from a...
Wana JF na watanzania kwa jumla,tumekuwa wa kwanza kurusha lawama kuhusiana na huduma mbovu serikalini na taasisi mbalimbali nchini.Shutuma nyingi sana tumezielekeza moja kwa moja kwa Rais na...
Jana katika kipindi cha Kumekucha cha ITV, kiongozi mmoja wa madereva wa mabasi alidai kuwa viongozi wa Tanzania Bus Owners Association (TABOA) wanakwepa kuwapatia ajira za uhakika madereva...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa amesema mjadala wa kampuni ya kufua umeme ya Richmond, bado haujafungwa na kwamba chama hicho kinajiandaa kupeleka mjadala huo kwa wananchi kwa kuwa Bunge...
WANANCHI WAWAKATAA, WASEMA HAWAWACHAGUI
Mwandishi Wetu
KELELE za watu waliofika kwenye mkutano wa hadhara jana kumkataa mbunge wao Dk James Msekela ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma...
Serikali ya Tanzania inapoteza fedha nyingi kila mwaka kwa kutokuwa na ujasiri wa kumrudisha mjusi aliyepelekwa ujerumani mwaka 1918.
Pamoja na mapato hayo kila mwaka watalii wapatao 500,000...
Jijini Dar es salaam siku hizi daladala nyingi zimechomewa nondo(au bomba za chuma) madirishani kwa ndani, yaani kuanzia nyuma ya gari hadi mbele inakwa mistari miwili au mitatu inawekwa kila...
Msaada wandugu.
Kwa wenyeji wa Dodoma au kuujua mji wa Dodoma. Napenda kujua Hoteli za bei nafuu around 10,000/= to 25,000/=. Maeneo zilipo na Contact zao.
U.S. Navy rescues Tanzanian ship, nabs 8 pirates
1 hr 53 mins ago
NAIROBI (Reuters) A U.S. Navy warship prevented an attack on a Tanzanian ship and apprehended eight suspected pirates in the...
2010-02-10 12:14:00
Who are the best and worst MPs?
Spekear Samuel Sitta shakes hands with Mwananchi news editior Daniel Mwaijega as features editor Rashid Kejo looks on. Kejo and Mwaijega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.