Dr.Slaa na Shelukindo ndani ya ufufuo na uzima kujionea misukule leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Slaa na Shelukindo ndani ya ufufuo na uzima kujionea misukule leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dr.Mbura, Oct 11, 2009.

 1. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #1
  Oct 11, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dr.Slaa na Shelukindo walikuwa ufufuo na uzima kujionea misukule kwa macho yao leo pia Shelukindo amesema ametumwa na rais aseme kuwa nae JK atakuja mwenyewe kujionea
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhhhhhh.hata sijaelewa,hebu fafanua.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Una maana gani wewe? Ndugu, andika kitu cha kueleweka basi.
   
 4. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dr Mbura,

  Mbona husemi watu simple kama sisi tukakuelewa?
   
 5. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Wewe ni Dr Mbura yule wa Mlimani, au kutoka mitaa ya Mlingotini?
   
 6. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2009
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mwana JF MBONA HUELEWEKI .UNAMATATIZO GANI ? unaandika mafumbo ya nini. na unatoa ujumbe gani?
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Una maana gani?.
   
 8. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #8
  Oct 11, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sorry na2mia cell phone, namaanisha Dr. Slaa na Shelukindo walikuja kuabudu kuabudu kanisani ufufuo na uzima ubungo kwa mchungaji Gwajima. Shelukindo alipopewa nafasi ya kuongea alisema Kuwa rais amemtuma kuleta ujumbe kuwa siku za karibuni atakuja kujionea taratibu za ibada pia misukulu
   
 9. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mambo ya kiroho ni magumu kuyaelewa kimwili,unafikiri JK ataelewa chochote? atakenua meno basi lakini msishangae naye akiokoka.
   
 10. October

  October JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jk nae vilevile ana pesonal life yake na ana uhuru wa kufanya atakavyo na pesonal life yake. Tusubiri ikitokea hilo alilosema ndo tutakua na cha kujadili.
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhhhhhh.hata sijaelewa,hebu fafanua.

  NI VIGUUMU KUELEWA KAMA SI ROHONI
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  mwana JF MBONA HUELEWEKI .UNAMATATIZO GANI ? unaandika mafumbo ya nini. na unatoa ujumbe gani?

  FUMBO ALIWEZI KUTATULIWA INABIDI LIFUMBULIWE NA NANI WEWE
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,541
  Likes Received: 18,169
  Trophy Points: 280
  Dr. Hujaeleweka vizuri. Fafanua kwanza kuhusu subject matter. Pili fafanua jinsi Dr. Slaa na Bity Shellu wameingiaje na how does JK come into this. Kwa maoni yangu binafsi. I doubt kama ni kweli Bite Shelu alimungiza JK kwenye hili. Na kama ni kweli aliyasema haya

  Then hayo ni ya Bite mwenyewe na sio JK.
   
 14. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli, basi hamna taabu. Asiishie kutembelea big fishes (Lutheran, AIC, Bakwata, etc.) na kuwachangia hela za umma.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Oct 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Tunapenda mambo ya uchawi uchawi na viinimacho! miye nadhani hata mafisadi wanatumiwa kama misukule!
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2009
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hata mkimuomba Dr ajaribu kuwapanulia macho ili muelewe vya rohoni,hata siku 1 hamtakuja kuelewa haya mambo kwa macho mwilini mpaka kitu kinachoitwa 'upako wa kufunuliwa mambo ya rohoni' hapo sasa ndo mtaelewa! Hata Petro kuna baadhi ya vitu alikuwa havielewi elewi hadi akamua kummuuliza Yesu Kristo kama ilivyoelezwa kwenye maandiko Matakatifu.

  USHAURI WA BURE

  Mat. 7:7
  Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa
  .
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu mama siku hizi hana amani, anahangaika sana inaelekea huko Kilindi mambo yanamuendea kombo; EL amemuweka mtu wake pale under instructions kuhakikisha huyu mama haoni ndani ya ubunge come 2010!!
   
 18. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani kwani huyu EL ana nguvu gani mpaka nchi nzima inamjadiiili. nadhani hana lolote ni media inamkuza tuu. Anyway hao waliokwenda kuabudu hapo ni personal issue zao. Kwamba wanaabudu kwa mrudisha misukule au mpunga pepo watajua wao na mungu wao
   
 19. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kweli mambo ya imani magumu
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Msukule wa msichana anayekaribia miaka 15 na 20 umeibuliwa nyumbani kwake, week mbili zilizopita.
   
Loading...