Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
7 Reactions
121 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama . Ametoa rai hiyo...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Hellow Great Thinkers! The LORD is good!!! Karibuni ibadani... Cc.... Mallerina
5 Reactions
16 Replies
144 Views
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026. Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
3 Reactions
13 Replies
463 Views
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion Ajabu ni kuwa issue Hii...
5 Reactions
26 Replies
328 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa? Mwaka jana...
8 Reactions
32 Replies
887 Views
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu! Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
9 Reactions
32 Replies
609 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
4 Reactions
35 Replies
764 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa...
3 Reactions
30 Replies
473 Views
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita. Mimi namuunga mkono na nitamchangia...
2 Reactions
4 Replies
190 Views
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
2 Reactions
7 Replies
93 Views
MILLIONAIRE SPECIAL THREAD — KARIBU VIJANA WAPAMBANAJI Kuna watu wanatafuta hela. Kuna watu wanatafuta fursa. Na kuna watu wanaamua kujenga mifumo itakayowazalishia hela. Kuna muda hasa nyakati...
8 Reactions
15 Replies
175 Views
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa...
27 Reactions
111 Replies
1K Views
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa...
7 Reactions
85 Replies
773 Views
Hello Greate Thinker!!! The LORD is good..... ... Familia nyingi hua naona wanapata milo mitatu kwa siku, na hii imeshakuwa kawaida hata kama watu, wamemaliza kupika cha asubuhi saa 4. Ila saa 7...
7 Reactions
58 Replies
603 Views
Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika...
4 Reactions
251 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…