Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa...
Sijajua kwa sikuhizi lakini Njombe kwa muda mrefu imekuwa ikizungumziwa kwa utofauti wake wa kutokuwa na waarabu na wahindi
Kuna video niliiona jana mtandaoni kuwa waliwahi kuwepo ila walifukuzwa...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid ambaye ameteuliwa na Rais Samia Suluhu...
Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu.
Biblia SIO NENO LA...
NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka.
Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu...
Miili ya vijana wawili waliofariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria, eneo la Bandari ya Bukoba mkoani Kagera imeopolewa usiku na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bukoba ikisubiri...
Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao .
#Malenga wa Kiha
#Mwanasayansi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge...
Makamu wa Rais Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa anaagana na Waziri Mkuu, Dkt MWIGULU NCHEMBA katika Uwanja wa CCM NELSON MANDELA uliopo katika Manispaa ya Sumbawanga leo Oktoba 14, 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Mama Maria Nyerere, wameshiriki Misa Takatifu ya Kumbukumbu ya Hayati Baba wa...
Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu...
Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa...
Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri.
Tunaamka...
Moja ya uhai wa jukwaa la mtandao wa KIJAMII ni kile kiwango Cha members wengi wenye interaction
Jf inaelekea miaka zaidi ya 20 karibu sawa fb ya 2004
Pamoja na kuwa jukwaa Bora Tanzania lakini...
Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣.
In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana.
Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa...
Kuna jambo huwa linanishangaza sana kuhusu hili jina la QNET.
kila mwaka tunasikia vijana kutapeliwa kwa kuahidiwa nafasi za kazi lakini mwisho wa siku wanaishia kutoa fedha na kuachwa bila kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.