HII MAMBO NDIO MAANA SIJAWAHI AMINI ZIKE OFISI KUPELEKEA MATATIZO YA MTAANI
KWA WALIOONA ITV MWANANCHI ANALALAMIKA MBELE YA WAH NA KAMANDA KAIMU
ANASEMA KITUO X NDICHO KINACHAGIA WAUZA GONGO KHA...
Sijapata Msaada JF, Ila Kimaisha Nimepata Somo Kubwa
Kwa muda nimekuwa nikieleza changamoto zangu hapa JF, nikitarajia labda kuna mtu atanisaidia kwa namna yoyote. Ukweli ni kwamba, msaada wa...
Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Upendo Shabani, mwenye umri wa miaka 38, mkazi wa kitongoji cha Engorika, kata ya Kiutu, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, anadaiwa kuchomwa maji ya moto...
Maisha yamewatia adabu wazazi waliodhani watoto wao ni bora kuzidi wengine, Ewe mzazi punguza majivuno. Lea mtoto kwa upendo, maadili na nidhamu, huku ukikumbuka kila mtoto ana njia yake na...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na...
Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe)
Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha...
Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council).
Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu...
Pedophiles wataharibu watoto wenu, tatizo mnadhania ni wahuni wahuni wa mtaani, hapana, ni watu wa karibu yako kabisa.
Watoto wengi wamebaki na childhood trauma hadi wamekuwa ukubwani
Hivi...
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani.
Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo...
Ukianzia miaka 2010 kurudi nyuma mashuleni kuanzia msingi hadi secondary kulikua na wale wanafunzi mashujaa wenye nguvu,ujasiri,kulikua na wale wapenda michezo ya sarakasi yaani kulikua na...
Hio ndio saikolojia ya mwanadamu
Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.
Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu...
Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu...
Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi?
Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu.
Hata vile nilisikia ati...
Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao...
Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji...
🔥 UZINGATIE HUU UZI KABLA HUJAPITA…
Kuna muda unafika kwenye maisha ambapo unaacha kulalamika, unaacha kujitetea, unaacha kuwaeleza watu kila kitu.
Unakaa kimya.
Sio kwa sababu huna cha...
Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa...
BIMA YA MAISHA NI NINI
Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.