Charity begins at Home Hongera Nsekela

Charity begins at Home Hongera Nsekela

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,564
Reaction score
9,507
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion

Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko.

Hongereni pia kwa ubunifu
 
Hakuna kitu hapo,It is just politics,Jamaa anatengeneza mazingira ya kugombea Ubunge nothing else.
 
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion

Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko.

Hongereni pia kwa ubunifu
CEO pekee ambaye hajawahi tokea CRDB ni Charles Stephen Kimei. Haitawahi tokea.
 
Kemei ana nini cha ajabu? Unaweza kuta CRDB imefika hapo kwa baadhi ya Watendaji kuwafanya kazi zaidi hata ya huyo Mkurugenzi.

Kemei sionagi cha ajabu na utambue taasisi kama hiyo inafanya kazi kwa mfumo.

Wewe unakufuru hapa kusema hatatokea maana wewe Mungu anafahamiana naye na unampangia cha kufanya.
 
Jamaa mshamba Sana, ndio maana kajiita loose nut, nut imelegea kichwani sio kosa lake mkuu
 
Naona kwasasa CRDB wamejikita sana katka kupromo benk yao, maana kwa huduma mbovu walizonazo ilikua inaelekea kujifia, wameamua waiamushe kwa spid ya 5G.

Hizo ni promo tu, hamna kitu hapo, wameona kuwa anguko lao lilikuwa karibu wameshtuka wakaja na promo hizo! Tena ukichanganya na hizo nyela za wahudum wao huwa wanajiona kama dunia wameimalza, hamna kitu hapo!
 
Kemei ana nini cha ajabu? Unaweza kuta CRDB imefika hapo kwa baadhi ya Watendaji kuwafanya kazi zaidi hata ya huyo Mkurugenzi.

Kemei sionagi cha ajabu na utambue taasisi kama hiyo inafanya kazi kwa mfumo.

Wewe unakufuru hapa kusema hatatokea maana wewe Mungu anafahamiana naye na unampangia cha kufanya.
Sawa Nsekela tumekusikia. Ila Kumbuka Kimei katoka na CRDB mavumbini kipindi hicho. Na kwa taarifa yako Nsekela bila Kimei usingeenda Uingereza kusoma. Usijisahulishe yeye ndio kakutoa Iringa kuja Dar. Uwe na shukrani.
 
Naona kwasasa CRDB wamejikita sana katka kupromo benk yao, maana kwa huduma mbovu walizonazo ilikua inaelekea kujifia, wameamua waiamushe kwa spid ya 5G.

Hizo ni promo tu, hamna kitu hapo, wameona kuwa anguko lao lilikuwa karibu wameshtuka wakaja na promo hizo! Tena ukichanganya na hizo nyela za wahudum wao huwa wanajiona kama dunia wameimalza, hamna kitu hapo!
CRDB matapeli wakubwa
 
Sawa Nsekela tumekusikia. Ila Kumbuka Kimei katoka na CRDB mavumbini kipindi hicho. Na kwa taarifa yako Nsekela bila Kimei usingeenda Uingereza kusoma. Usijisahulishe yeye ndio kakutoa Iringa kuja Dar. Uwe na shukrani.
Hahaha haya Bwana asante kwa kinibatiza jina jipya.
 
Hii ni innovation nzuri, maanake mtu anakopeshwa ng'ombe akianza kukamua anauza maziwa na kurejesha mkopo. Akishakamilisha kurejesha ng'ombe anakuwa wa kwake jumla. Uzuri ni kwamba soko lipo tayari hivyo mfugaji hatahangaika kutafuta soko la maziwa. Mfugaji anakuwa halipwi cash bali malipo yanapitia kwenye akaunti yake moja kwa moja! Mradi utakuwa na tija huu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom