Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri.
Tunaamka...
Moja ya uhai wa jukwaa la mtandao wa KIJAMII ni kile kiwango Cha members wengi wenye interaction
Jf inaelekea miaka zaidi ya 20 karibu sawa fb ya 2004
Pamoja na kuwa jukwaa Bora Tanzania lakini...
Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣.
In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana.
Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa...
Kuna jambo huwa linanishangaza sana kuhusu hili jina la QNET.
kila mwaka tunasikia vijana kutapeliwa kwa kuahidiwa nafasi za kazi lakini mwisho wa siku wanaishia kutoa fedha na kuachwa bila kile...
Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.
Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya...
Habari JF,
Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi.
Wachimbaji hao wanatumia...
Vijana wa hamasa wakishiriki kwa shangwe na nderemo katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru leo, Oktoba 14, 2026, katika Uwanja wa CCM Nelson Mandela, Manispaa ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa
Habari wana jukwaa,
Tukielekea mwishoni mwa mwaka ambapo tunakuwa na mapumziko marefu.
Ningependa kujua wenzangu mnapenda kufanya nini kipindi hiki cha mapumziko marefu? Binafsi napenda...
Daladala za Kigamboni kwenda sehemu mbalimbali ikifika saa moja jioni nauli zinapanda na gari kuishia njiani, hazimalizi safari mpaka mwisho. Msaada LATRA wasimamie hili linatuumiza sisi wananchi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza taarifa ya kifo cha mtu mmoja jinsia ya kike anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25 ambaye tarehe 13 Oktoba, 2026 saa 11 :30...
RIP pole pole wala sio kuzunguka kama alivyosema nyuma ya pazia kuhusu serikali
Sisi tunaweza kuona nchi ina serikali na raisi ila mfahamu ina watu wachache ambao wanaweza kujionesha wapo na sisi...
Guys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000...
Mkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na...
Wadau naona watu wengi wamezungumza sana kuhusu kisomo cha Albadir ambacho baadhi ya waislamu wanatarajia kukisoma kesho kwa ajili ya kuwashtakia kwa Allah watu waliokusudia kumuua Mh, Tundu Lisu...
Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea...
Habari za wakati huu wakuu,
Siku hizi kila kona stori ni kuifanya Dar iwe safi tena. Tunaona wanasiasa na watendaji wakiwa mtaani na mifagio kwa mbwembwe nyingi, huku wakitangaza faini za hadi TZS...
Niffer, baada ya ushindi wa Jihan ametoa shukrani zake kwa serikali na Rais Samia kwa kuchangia pesa za kumpigia kura Jinan na kuongeza kuwa Ushindi wake usingepatikana kama sio pesa kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.