Injili mkuu... ChrismorisHiki ni nini
twambie mmejifunza nin mkuu
kwa dalili hizi mkuu utaenjoy kweli kwenye mapenziAsante madam Mallerina nimelichukua kwa unyenyekevu mkubwa na nitalifanyia kazi...... sitakuweka kwenye cc kama unalingine karibu.... madam!
aminaMpende BWANA Mungu wako, kwa moyo wako wote!!! mke mwema hutoka kwa BWANA sina shaka na hilo! mengine ni ubatili tu mkuu