Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UVCCM leo wameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kuguswa na maslahi ya taifa baada ya kutoa matamko kadhaa likiwemo la kuitaka serikali kuwataja hadharani wamiliki wa Richmond ili wabebe mzigo wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukombozi wa nchi upo mikononi mwetu. Mimi nimedhamiria na kila wiki lazima nimtumie mzee wangu magazeti ya mwanahalisi na raia mwema na mwananchi ili ajue nchi inavyo endeshwa na kisha tunapiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wana JF, Habari za majukumu. Naomba mwenye list nzima na anwani ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano kwa 2011 anisaidie. Nina shida nazo sana. Asante
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimesikiliza habari jioni hii bbc kumbe maandamano yalisababishwa na kijana mmoja ambaye askali jiji walimkamata akiwa anauza matunda mitaani na alipofuatilia na kutaka kupewa mzigo wake ndipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana au juzi nilimsikia Kamanda wa kikosi cha barabarani, Kamanda Mpinga, akisema kwamba moja ya sababu kubwa mpaka sasa idadi ya watu waliobadilisha leseni mpya kuwa chini ni fact iliyowazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hizi blogs zote zinafanana? ukienda michuzi habari ndio hizo hizo....ukienda mjengwa au bongo celebrity na zinginezo they all have same news na majority are poorly structured which can be...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Closed
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari za leo wana Jamii Forum! Nimekaa kwa muda nikitafakari tokea siku lilipotokea lile tukio lililolikumba nnchi yetu baada ya jeshi la polisi wakisaidiana na mgambo kuzibiti maandamano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatarajia kujenga ukuta kuzunguka eneo lote la chuo hicho, ili kukabiliana na kile ambacho uongozi wake umekiita tishio la uhalifu na uvamizi wa eneo hilo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kashfa nyingine nzito kwa Polisi Arusha na Violet Tillya, Arusha WAKATI wakazi wa Arusha wakiwa bado na kumbukumbu ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu Sita wamekwama kwenye lift katika Jengo la Mwalimu House, Jitihada za kuwaokoa zinaendelea.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha sebastin kolowa, kilchopo Lushoto Tanga. kinasemekana kuendesha chuo kibabe kupitia serikali ya wanachuo ambayo inaegemea sana utawala badala ya maslahi ya wanachuo. Tare...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kusoma full text ya tamko la masheikh, ukijumlisha na frustrations za maisha kama dowans, umeme plus price influctuation katika kila utakachogusa, plus dictates acts from executives, i...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The human eye can detect millions of colors and is sensitive to light and sounds. Yes, sound. University research studies show that mild and incidental noises cause the pupils of the eyes to...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekaaa na kujiuliza Huu ugeni Mkubwa tulionao hapa JF kwa siku mbili hizi, ni wageni wapya kwa maana ya upya au ni walewale wamekuja na ID mpya baada ya Panga la INVs?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…