Tanzania is so very close to taste the worst of time

Abigree

Member
Nov 3, 2010
52
0
Baada ya kusoma full text ya tamko la masheikh, ukijumlisha na frustrations za maisha kama dowans, umeme plus price influctuation katika kila utakachogusa, plus dictates acts from executives, i conlude that Tanzania is so very at the nick of time to taste the worse, unles juhud za makusud kuokoa hali hii hazitachukuliwa.
Mwana jf unasemaje?
 
Hamna kitu.
Hisia hizi zipo sana sana hapa kwenye mtandao na kwenye vijiwe vichache. Watanzania wa kawaida wanafikiria mlo wa kesho.
 
huo mlo ukishakosekana unadhan nin kinafuata? Unadhan kuna atakayekubal kufa njaa wakat anajua uwezekana wa kupata mlo upo!
 
CHADEMA wanaombea hiyo test as if wanauzoefu wa ku reverse situation.

umekosea kidogo tu, chadema wanachofanya ni kuwaconscioutize watz wajue nin kinaendelea. Sioni dhambi hapo. Ila ccm nadhan wanaipush hyo text
 
Hamna kitu.
Hisia hizi zipo sana sana hapa kwenye mtandao na kwenye vijiwe vichache. Watanzania wa kawaida wanafikiria mlo wa kesho.

ndo maana serikali ya CCM haijihangaishi kuboresha maisha ya mTZ ili muda wote awe anahangaikia mlo wa kesho
 
huo mlo ukishakosekana unadhan nin kinafuata? Unadhan kuna atakayekubal kufa njaa wakat anajua uwezekana wa kupata mlo upo!

Labda wewe umezisikia hizi chokochoko hivi karibuni. Mimi nilibahatika kuzisikia toka miaka ya 80.
 
Hata kipindi cha jana cha Straight talk Africa cha VOA wamelizungumzia hilo wakati wanachambua issue ya Tunisia so tusubiri tuone na hapa kwetu wee acha mkwere atuchezee tu
 
Natamani hiyo situation ije leo

usitamani hilo ndugu, tamani mabadiliko ya aman au yaletwayo na social unrest,agatation, violence,public dis order,demostration,riots n.k, lakin usijaribu kuwaza kutamani vita ya kidin ama ya wenyewe kwa wenyewe
 
Hata kipindi cha jana cha Straight talk Africa cha VOA wamelizungumzia hilo wakati wanachambua issue ya Tunisia so tusubiri tuone na hapa kwetu wee acha mkwere atuchezee tu

am looking forth to see wat mkwere ll do to stabilize the situation
 
Baada ya kusoma full text ya tamko la masheikh, ukijumlisha na frustrations za maisha kama dowans, umeme plus price influctuation katika kila utakachogusa, plus dictates acts from executives, i conlude that Tanzania is so very at the nick of time to taste the worse, unles juhud za makusud kuokoa hali hii hazitachukuliwa.
Mwana jf unasemaje?

nonononononononoononononooooooooooooooo, actualy she in her worst moment: gvt haina hela ya kutoa huduma kama ilivyo ahidi ktk bajeti, selikali haiwezi kukusanya mapato, haiwezi kudhibiti uharifu, wananchi hawaitii serikali yao, serikali haiwajali wananchi wake......................
 
Back
Top Bottom