Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maenoe hayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maenoe hayo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by uporoto01, Jan 20, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na silaha na taarifa zao zipo Kawe police,jihadharini wanaoishi maeneo haya.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Poleni sana huko wenzetu.

  Lakini hebu karekebishe hilo neno penye wino mwekundu kuna shida kidogo. Ujambazi wa aina hiyo hufanywa sana sana na vijana fulani mara nyingi wao hukaa pale Njia Panda Kwa Mkanada, eneo linaloitwa Chalinze hapo.

  Perekeni taarifa pale polisi Wazo mtasaidika haraka. Kwa usawa huu tulionayo nchini mtu hapashwi kuibiwa hata kijiko cha chai.
   
 3. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wengi tu walishakimbia hayo majumba wamejirudisha mjini taratibu.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mlinzi mwaminifu mbwa tu,binadamu atakusaliti
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  poleni sana ila hawa jamaa wanaofanya hivyo ni hawa hawa jamaa zetu wa ulinzi
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Poleni wana Darisalama!!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hii sasa hatari.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Poleni kina uporoto. Hamieni huku mpwapwa. Wenzenu tunalala milango wazi. Mlinzi paka.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbwa nae akipewa mfupa tu kwisha kazi
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,127
  Likes Received: 5,569
  Trophy Points: 280
  nakuombea wakupe lift uende ccbrt ukapime..ulichonacho moyoni si vyema kukiweka hadharani som vizuri alichoandika na ulichoandika
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mkuu kama umemzoesha time ya kula na mlishaji maalum hawawezi kudaka mfupa atambwekea huyo mrushaji mpaka utastuka
   
 12. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kesheni mkiomba!
  kwa maana hamjui siku wala saa :plane:
   
 14. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndugu Pdidy, mwandika hoja alikosea kweli, ila baada ya kupewa angalizo aka-edit text yake! Ndo maana wewe uliposoma unaona hakuna kosa!
  Cheers
  Keren_H
   
 15. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  taarifa za kiintelejensia.
   
Loading...