Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu JK amewahi kutamka hadharani kwamba ana Ng'ombe 400 na shamba la mananasi ekari kama sikosei 20 (I stand to be corrected on this no.). 1. Well kwa biashara ya maziwa na hata ng'ombe wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Edward Moringe Sokoine ansifika kuwa alikuwa mmoja wa viongozi wapenda haki na uwajibikaji. Lakini alikuwa pia na silka ya utawala wa ki-imla, nakumbuka jinsi alivyolishughulikia suala la wahujumu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Potential 2012 Republican candidates President Barack Obama has officially launched his campaign for re-election in 2012 and has begun raising money in earnest. Meanwhile, the Republican field...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Chato mkoani Kagera imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja dereva wa gari dogo la kusafirisha abiria maarufu kama vipanya, baada ya kushindwa kulipa faini ya shilingi 600,000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wapendwa, kuna mtu yeyote anjua JK Twitter account? Nina maswali kadha wa kadha nataka kujibiwa!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Send to a friend Wednesday, 01 June 2011 21:09 0diggsdigg Tumaini Msowoya, Iringa HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete, imeamua kuwasimamisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada na hata kabla ya kujitenga na Sudan, mji mkubwa wa South Sudan - Juba, unaongezeka kuvuta wawekezagi na umati wa watu kila kukicha. Ndege nyingi sasa zimeanza International flight...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tue May 31, 2011 12:50pm GMT * To drill a new well and expand existing one * Move to nearly double daily output DAR ES SALAAM, May 31 (Reuters) - Canadian energy firm Orca Exploration...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauri ya ndege Tanzania imeanguka marudufu.Hata wale hamjawahi kupanda midege,ni zamu yenu sasa.Aangali kwa hii mtambo Uhuwiana wa Nauri za ndege nje na ndani ya Tanzania
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hamjambo wana JF? Naomba tukumbuke ustaarabu wa daladala, miaka ya zamani kulikuwa na UDA-(Shirika la Usafiri Dar). Ukienda kituoni, unapanga mstari. Ustaarabu ulikuwa mkubwa!!!! Mtu aliyetangulia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la NIPASHE la jana jumatano tarehe 1, Juni 2011, lenye kichwa cha habari "Tibaijuka ategwa nyumba za NHC." linatia kichefuchefu, eti wapangaji wa nyumba za shirika hilo zilizopo upanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nimesikia BOT imetumi shilingi millioni 500 kwa ajili ya kupiga picha za vigogo wake, Hapa nashindwa kuelewa ni picha gani walizokua wanapiga. Source: Tanzania Daima Leo
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Labda mi sijui maana halisi ya habari, lakini kitendo cha tbc kuweka mambo ya kale pindi nyerere alipofanya ziara zake sidhani kama ni sahihi kwenye taarifa ya habari. Mi nadhani wangetenga muda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu walivyodanganywa kutoka EAST Africa TV kuhamia TBC wanaonyesha michezo ya kitoto, Walipokuwa East Africa TV walikuwa wanakosoa serikali, matumizi mabaya ya ofisi na uongozi, wanaelimisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumelalamika sana kuhusu jinsi chombo hiki cha umma kinavyoendeshwa. Tumeshuhudia jinsi gani mikutano isiyo na maana ya CCM inavyopewa nafasi kubwa kwenye taasisi hii. Takwimu za kupotosha ukweli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania naipenda nchi yangu. Yule mbunifu aliebuni nembo ya kampuni ya ndege ya ATCL na kuamua kustaafu amezawadiwa kitita cha million 200 kama kiinua mgongo. Katika hali ya kushangaza...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
mie kama mtanzania naumia sana mafuta ya taa kuuzwa 1800/litre ilihali hii nishati kwa sasa ni mahitaji ya msingi kwa mtanzania wa kijijini, kerosene imekuwa kama petrol pricewise 2100? is this...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Great thinker wa jf wewe ungekuwa na dhamani ya uongozi ungefanya nini na kipi tofauti? mara nyingi siku tunawakosoa tunanyoonhsea vidole, siasa na vyama vya siasa kama CCM, ,CUF CDM...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
leo asubuhi nilikuwa na mazungumzo na mtoto wangu ambae ana miaka 7. Tulikuwa tunazungumzia mawsala ya dini na isuue yenyewe ilikuwa ni kuhusu sadaka. Ni kwamba dini kalibu zote huwa zinatoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Parliamentary Committee on Parastatal Organisations Accounts (POAC) yesterday advised the Bank of Tanzania (BoT) to consider maintaining gold reserves, by mainly buying the mineral from small...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom