TBC1 wamefulia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 wamefulia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Jun 1, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Labda mi sijui maana halisi ya habari, lakini kitendo cha tbc kuweka mambo ya kale pindi nyerere alipofanya ziara zake sidhani kama ni sahihi kwenye taarifa ya habari. Mi nadhani wangetenga muda maalum na kuweka hayo mambo yao. Eti miaka 50 ya uhuru bado nchi gizani, viwanda vinasimama uzalishaji kisa umeme. Baada ya kuonyesha walokosa ajira kwa sakata la umeme wanatupoza na enzi hizo wakati wengine hata hatukuwepo....mla kala leo bana mla jana kala nn? Wamenikera sana.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sijui ndiyo mambo ya management mpya hiyo yaani ni upuuzi mtupu wana kirap chao cha kijinga jinga, vipindi vingine vya kijinga full kucopy toka EAT Tv n.k Nadhani TBC1 wasipojirekebisha hali itakuwa mbaya zaidi.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wameishiwa...
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Aisee nimeona quality ya picha zao za video, very poor! Sijui hizo resolution ya camera zao ni pixels ngapi, hata camera yangu ingechukua video nzuri zaidi! hapa nazungumzia matukio ya leo, si picha za enzi za kale.
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  TBC wamefulia kama Magmba walivyofulia, naona hata wadhamini watawakimbia mambo yakiwa hivyo
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  Nawashaur wafanyakaz pale wasake kazi!!nahisi wanakufa even skillfull jamaniii,vipind no mpangilio dk 2 tangazo dk2 imenyamaza kimya,waweza ona matangazo yasiyoeleweka dk 20 nzma mmmmm::::::
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  tbc = TuBerCulosis
   
 8. T

  The Priest JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi hili suala la sherehe za uhuru kuanzia 1june hadi 9 December,na kila wizara kupewa tar ya kuadhimisha hii siku,mbona serikali haituonei huruma watz,watu maisha magumu,alafu tufanye sherehe kwa miezi sita mfululizo,kwa lipi hasa la kujivunia hiyo miaka 50..tunajivua umaskini na matumizi mabaya ya rasilimali,ndio wanachofanya tbc wameagizwa na wakubwa wao.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wapeni nafac wakajibu maswali kwny kamati ya bunge ya mashirika ya umma kuhusiana na mkataba feki wa startimes.
   
 10. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Hayo ndiyo mafanikio ya miaka 50 ya uhuru!
   
Loading...