Lini Precision kwenda Juba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini Precision kwenda Juba?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ghost, Jun 2, 2011.

 1. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada na hata kabla ya kujitenga na Sudan, mji mkubwa wa South Sudan - Juba, unaongezeka kuvuta wawekezagi na umati wa watu kila kukicha.
  Ndege nyingi sasa zimeanza International flight connections pale, kwa mfano Kenya Airways KQ, Ethiopia Airlines ET, Air Uganda n.k na nasikia airlines zingine zitaanza safari kuelekea huko.
  Precision wana mkakati wa kuanza safari za kuelekea huko, since nchi hii haiko mbali sana na karibuni watajiunga na East Africa federation.
  Nawakilisha!!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umewakilisha maoni yako kwa JF na si bodi ya wakurugenzi ya Precision air.
   
 3. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  It doesn't have to be directed to the board...kwani haya maswali yote tunayowuliza hapa yana lenga nani? Cum'on.....
  Its a general question. If anybody has any information au kama kuna mfakazi wa Precision Air anaweza kutujuza..
   
 4. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Precisions parent company - KQ wanaenda for a long time now, sasa cjui unategemea mtoto ashindane na mzazi wake kugombea fito ya kujenga nyumba hiyo hiyo!!!!!!!!
  Msisahau kwamba Precision ni Kampuni ya KiTZ lakini inamilikiwa kiasi kikubwa na Kenya Airways, so maamuzi yao yote yanategemea strategic planning ya KQ
  :mod::pound::dance::A S 103:
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  ATC vipi?? Au ilishazikwa kabisa??
   
 6. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jibu unalo mkuu... Na bado watu wanajivunia nembo..lol
   
Loading...