Mbunifu wa nembo ya atcl azawadiwa million 200 kwa shukran

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Tanzania naipenda nchi yangu.
Yule mbunifu aliebuni nembo ya kampuni ya ndege ya ATCL na kuamua kustaafu amezawadiwa kitita cha million 200 kama kiinua mgongo.

Katika hali ya kushangaza inayotuonyesha serikali ya kikwete inapoelekea wakati mh huyu alikabidhiwa kampuni hiyo aliahidi mambo lukuki baada ya hapo wakaanza mchakato wa kuimaliza atcl huku wakijiwekea muda muafaka kwa muda fulan tuwe hatuna ndege ya kuruka.

Kwa kweli nikiwa hazina nilisikia kizungu zungu nikaumia wale wazee waliofikisha ATCL kuwana ndege 10 enzi hizo wamestaafu hata million 20 awajaziona na wengine bado wanadai kampuni leo hii mtu anakuja na mada ya kubuni nembo ya kampuni na kustaafu gafla na kukabidhiwa million 200.

Jamani hizi pesa ni sawa na zahanati mbili za watu wasiopungua 80-100 kwa wakati mmoja je hii serikali inatupeleka wapi..ninapoona anaekuja nae atakuja na rangi mpya za hii kampuni ili akiondoka aondoke na mlo mzuri huku akijiamba alibadilssha rangi na kuwa ya mngaro.

Wabunge embu kuweni makini na uteuzi mpya wa mkurugenzi wa atcl naona madudu mengine yanakuja bila kujieleewa.

Mungu ibariki Libya na wananchi wake.
 
Atcl yenyewe iko wapi hadi zipatikane hela za kufanyia upuuzi huo?
Si angalau wangepunguza deni wanalodaiwa na Air BP?
 
hiyo pesa sio peke yake lazima kuna 10% za watu hapo

sijawahi ona kiinuwa mgongo kikubwa namna hiyo kwa kazi ipi aliyofanya ya kuuwa kampuni? haina ndege hata moja ina wafanyakasi 200,kubuni nembo tu unapewa hicho kitita je ukibuni digital bango na kuliweka KIA itakuwaje?

hehehhehehehe hi ndio bongo

mwalimu akistahafu anapewa milioni 19 tena kwa mbinde kweli kweli na matusi juuuuuu
 
mkuu ninavyoongea jumatani ijayo anapokea cheque kama mtu wa karibu huyu mtu muhi mu kwa muda huuu ni mtu asiependa kula peke yake hasa ukiwa mitaa ya b-bar zinatolewa hazina mkuu jiulize wafanyakazi 150 wanalipwa na pesa zipi..kuna mtu kaniletea hapa doc zinaonyesha kuna marubani 42 kati ya hao 23 wana miaka miwili yaani 2 wako nyumbani wakipokea million 5,7 na wengene wako vyumban wakipokea million3.5 kila mwezi jiulize zinatokea wapi hii ni kuacha washenzi wenzangu wakina lak3 nk...Mungu Aturehemu baya zaidi ma engineer wamepanga kuanzisha mgomo ndege ikitua na wao wapewe chao wamekaa zaidi ya miaka 25 hata kiinua mgongo mtu kaja na Ubunifu wa nembo kalamba million 200..hii ni kwako usimwambie mtu ila ndege ikitua kuna mambo
 
hiyo pesa sio peke yake lazima kuna 10% za watu hapo

sijawahi ona kiinuwa mgongo kikubwa namna hiyo kwa kazi ipi aliyofanya ya kuuwa kampuni? haina ndege hata moja ina wafanyakasi 200,kubuni nembo tu unapewa hicho kitita je ukibuni digital bango na kuliweka KIA itakuwaje?

hehehhehehehe hi ndio bongo

mwalimu akistahafu anapewa milioni 19 tena kwa mbinde kweli kweli na matusi juuuuuu

uliza kafanya miaka mingapi ndipoutachoka amemfundisha kikwete mara kisaaka aaah lowasa mara rostam yaani maarufu wote kafundisha yeye anatoka na hiko kijisent
Hii nchi laana za wazee hawa aitawaacha kumbuka kuna watu wanadai EAST AFRICA WALE WAZEE WAMEAMUA HADI KUONYESHA UCHI WAO KUPATA HAKI YAO BADO JK ANAPUMUA KWENYE AC BILA KUWAFIKIRIA NA AKIKA IKI KIZAZI AKIIFIKI 2015
 
SASA mkuu tufanyaje juu ya hili? maana natami kujilipuwa hapa nilipo,mbona jamaa kalamba pesa nyingi sana? mimi nadhani kunakitu wana JF inabidi kifanyike, wakati kuna watu wanalia tangu mwaka 1985 bado hawajalipwa pesa zao? wanasiasa nao hawalioni hilo?
 
BONGO HIYO!WATU WANAISHI KWA ARTIFICIAL LIFE MICHONGO,WIZI,UFISADI kwenda mbele!
 
Tanzania naipenda nchi yangu.
Yule mbunifu aliebuni nembo ya kampuni ya ndege ya ATCL na kuamua kustaafu amezawadiwa kitita cha million 200 kama kiinua mgongo.

Katika hali ya kushangaza inayotuonyesha serikali ya kikwete inapoelekea wakati mh huyu alikabidhiwa kampuni hiyo aliahidi mambo lukuki baada ya hapo wakaanza mchakato wa kuimaliza atcl huku wakijiwekea muda muafaka kwa muda fulan tuwe hatuna ndege ya kuruka.

Kwa kweli nikiwa hazina nilisikia kizungu zungu nikaumia wale wazee waliofikisha ATCL kuwana ndege 10 enzi hizo wamestaafu hata million 20 awajaziona na wengine bado wanadai kampuni leo hii mtu anakuja na mada ya kubuni nembo ya kampuni na kustaafu gafla na kukabidhiwa million 200.

Jamani hizi pesa ni sawa na zahanati mbili za watu wasiopungua 80-100 kwa wakati mmoja je hii serikali inatupeleka wapi..ninapoona anaekuja nae atakuja na rangi mpya za hii kampuni ili akiondoka aondoke na mlo mzuri huku akijiamba alibadilssha rangi na kuwa ya mngaro.

Wabunge embu kuweni makini na uteuzi mpya wa mkurugenzi wa atcl naona madudu mengine yanakuja bila kujieleewa.

Mungu ibariki Libya na wananchi wake.

Mkuu samahani hapo kwenye red naomba unijibu, Hivi kwa sasa bado unadiriki kutamka au kufikiri kuwa tuna serikali? ingekuwepo uchafu wote huu tunaouona usingefanyika.
 
Binafsi huwa nasema na narudia tena huwezi kuwa na akili timamu ukawa mshabiki na mpenzi wa CCM inayo tuangamiza.

Rwanda imetoka vitani juzi leo wana Boieng 737 mbili na ndege nyingine ndogo. Sisi na li CCM letu tumakunywa ATC na sasa tumebakisha makapi ya ATCL...... CCM shenzi sana.
 
Napata hasira kali sana kwa madudu yanayofanywa na serikali ya MAGAMBA.
 
Kwa wale wanaokumbuka lile shirika la mambo ya nishati kama sikosei ENRON ya Marekani, lilipofilisika, wakurugenzi wote walikula walishtakiwa na kufungwa kwa kufilisi shirika..

Lakini sisi huku dunia ya 3, masikini wa kutupwa ndo kwanza tunawazawadia mapesa yenye thamani ya mamilioni....

Huyo alitakiwa awe Segerea sasa hivi..Tutabadilika na kujifunza lini...

Mmenipotezea hamu yote ya kula...na sijui kama usingizi nitapata leo... madudu matupu...

Yaani juzi juzi alikuwa kule PPF kavuta mamilioni ya kustaafu..Hajakaa sawa, kaitwa ATCL, na sasa anakula mamilioni mengine..
Kumbuka aliteuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi kule BIMA, na huko atavuta mamilioni mengine..

Nani anifahamishe hazina ilipo??? nikachome moto...
 
Tanzania naipenda nchi yangu.
Yule mbunifu aliebuni nembo ya kampuni ya ndege ya ATCL na kuamua kustaafu amezawadiwa kitita cha million 200 kama kiinua mgongo.

Katika hali ya kushangaza inayotuonyesha serikali ya kikwete inapoelekea wakati mh huyu alikabidhiwa kampuni hiyo aliahidi mambo lukuki baada ya hapo wakaanza mchakato wa kuimaliza atcl huku wakijiwekea muda muafaka kwa muda fulan tuwe hatuna ndege ya kuruka.

Kwa kweli nikiwa hazina nilisikia kizungu zungu nikaumia wale wazee waliofikisha ATCL kuwana ndege 10 enzi hizo wamestaafu hata million 20 awajaziona na wengine bado wanadai kampuni leo hii mtu anakuja na mada ya kubuni nembo ya kampuni na kustaafu gafla na kukabidhiwa million 200.

Jamani hizi pesa ni sawa na zahanati mbili za watu wasiopungua 80-100 kwa wakati mmoja je hii serikali inatupeleka wapi..ninapoona anaekuja nae atakuja na rangi mpya za hii kampuni ili akiondoka aondoke na mlo mzuri huku akijiamba alibadilssha rangi na kuwa ya mngaro.

Wabunge embu kuweni makini na uteuzi mpya wa mkurugenzi wa atcl naona madudu mengine yanakuja bila kujieleewa.

Mungu ibariki Libya na wananchi wake.

Wakuu
Mtanisamehe kama sijaelewa vyema hii mada. Kama sikosei tunamzungumzia Bwana Mattaka ambaye amestahafu hivi karibuni. kama ndo yeye tunayezungumzia naomba kusema hivi.
1. Kwa mawazo yangu kama amelipwa shs. 200 milioni, hayamkini hizo zitakuwa ni pesa zake za kiinua mgongo baada ya kufikisha miaka yake ya kustahafu.
2. Kama ndo hivyo hatakuwa mtumishi wa kwanza kupata kiasi hicho wapo wengi tu wanaolipwa ikibidi hata zaidi ya kiasi hicho cha fedha labda hatujafuatilia tu.
3. Kwa mantiki hiyo, kama amestahafu/kustahafishwa hiyo ni stahili yake. La sivyo angefukuzwa kazi na mwajiri wake na kisha akapewa kitita hicho tulikuwa na sababu za msingi za kuhoji uhalali wa kulipwa hicho kitita.
Mwisho, ni jambo la kusikitisha tunapoona viongozi wetu wanajipendelea hali wakisahau wanyonge kama vile wazee wa Jumuia ya Africa Mashariki ambao tunaweza kusema wamedhulumiwa haki yao, hapo ndo tunapoweza kuishutumu serikali yetu kwa kutoangalia maslahi ya wananchi bali wana angalia ya kwao tu.
Hivi leo nani anajua mzigo tunao ubebeshwa wa kuwatunza, gharamia matibabu ya nje na safari za nje viongozi wetu wakuu wasitahafu (marais na Mawaziri wakuu) ambao safari zao ziwe za kibinafsi au kimatibabu hujumuisha gharama za walinzi wao wa karibu?. Na ndo hao hao ambao hata kiinua mgongo walichopewa kinazidi hata cha bwana Mattaka.
Haya ni mambo ya msingi ambayo sharti katiba yetu iyaweke wazi ili tujivue gamba la kuwa watumwa/watumishi wa watu tuliowaweka watutumikie.
baada ya miaka kadha tutakuwa na idadi kubwa ya wakuu wastahafu tutamudu kwendelea kuwatunza kwa gharama za wananchi? mbaya zaidi hata wale ambao mchango wao kwa taifa ulikuwa duni?.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Haya madudu watanzania 2meyataka wenyewe, kipindi cha kwanza mmeona wenyewe kuwa huyu Mkwele kesha wekwa kwenye mifuko ya mafisadi na yeye ni m2 wa kutabasam, hivo bas RIMOTI imeshikiliwa na EL, RA, EC na wengineo kibao sa-mwategemea mwizi amkamate mwizi???????????????????
 
Hivi atcl bado ipo??mi nilijua serikali imegive up zamani kwenye masuala ya usafiri wa anga...lakini mkuu una uhakika hiyo mil 200 ni ya kubuni nembo au haki yake baada ya kuretire?
 
Back
Top Bottom