Twitter accout ya Kikwete

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Jamani wapendwa, kuna mtu yeyote anjua JK Twitter account?
Nina maswali kadha wa kadha nataka kujibiwa!
 
Asante Chifunanga.....lakini anajitahidi kujibu maswali kama viongozi wengine? Kama Kagame navyojibu hapa wandishi wa habari. Kwasababu naweza hata kumualika kwenye sherehe flani flani.... Twitter is breaking barriers..... Anyway nitajaribu...Senkyu! Huyo Riz1 sina biashara naye, awatafute masharubaro wenzake huko...
 
mi nilikuwa nakusaidia wewe tu Ghost......hayo mambo ya matwita mi wala sifuatilii.....kila la kheri kwenye kumuuliza maswali JK.
 
Unashangaa jk kuwa kwenye twitter...jaman nyie watu wa wapi,mbona obama yupo kwenye twitter hamumshangai...hii siyo dunia ya mwaka 47 jaman,hii ni dunia ya sayansi na teknolojia,kueeni kiakili....nakupongeza sana mheshimiwa rais kwa kuwa kwenye social networks.
 
Inaelekea hujamuelewa, yeye alikuwa nauliza account ya JK on twitter ili aweae kuuliza maswali na sio alikuwa anshangaa. Sorry, was just clarifying tu.
 
kwakuwa ushapta twetter account ya mkuu wa nchi,2kutakie heli na busara njema ktk kumuulza maswali hayo.na uweze kurud na majibu ya ku2mainisha kama c kuridhisha.
 
Unashangaa jk kuwa kwenye twitter...jaman nyie watu wa wapi,mbona obama yupo kwenye twitter hamumshangai...hii siyo dunia ya mwaka 47 jaman,hii ni dunia ya sayansi na teknolojia,kueeni kiakili....nakupongeza sana mheshimiwa rais kwa kuwa kwenye social networks.
You know sometimes it's easy to think that you know stuff and smart yet ur the dumbest person alive.
Jaribu kusoma na kuelewa nini kimeandikwa ndani ya post kuliko kusoma heading.
Naona umejiunga juzi kwahio sishangai wewe kukurupuka, tutajaribu kukuelimisha as time goes by...lakini inaonekana utakua mwanafunzi mugumu.
1st lesson - NEVER JUDGE A BOOK BY ITS COVER.
Karibu JF
 
Back
Top Bottom