Ungefanya nini au kipi tofauti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungefanya nini au kipi tofauti?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Mar 4, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Great thinker wa jf wewe ungekuwa na dhamani ya uongozi ungefanya nini na kipi tofauti?

  mara nyingi siku tunawakosoa tunanyoonhsea vidole,

  • siasa na vyama vya siasa kama CCM, ,CUF CDM
  • baadhi ya viongozi kama JK, Zittto , magufuli,Mbowe, Dr Slaa Lipumba, etc
  • Mashirika kama TANESCO, TTCL, DAWAZA NSSF, NHC,
  Je wewe ungekuwa Rais, Waziri, mbunge kiongozi wa chama chaupinzani au kiongozi wa chama tawala ungefanya nini cha tofauti.

  Iwe ni Elimu, michezo, mindmbinu, fya fedha, etc tuwasilishe ideas zetu hapa .

  Tuchague position yeyote tunayopenda na tueleze what we could have done diferently.

  Karibuni great thinkers
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hizi resource eg madini tungeenda pasu kwa pasu na wawekezaji.
  Halafu watoto mbona wanasoma muda mrefu sijui tunafata mitaala ya wapi. Zaidi ya miaka 15 watu wanasoma tu. Ningerekebisha hiyo kitu.
  Kusingekuwa na vyeo visivyo na ulazima hasa ngazi ya serikali.
  Ningeipanga upya dsm. Naona imekaa vibaya vibaya.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Ok nimependa hii but hii madini pasu pasu umeongea kisiasa. Ho pasu pasu? Sababu hata Botswana nchi amabayo wanchi wake wanafaidiaka na mapato ya madini sio pasu pasu but lakini kuna kitu kinafanyika.

  Hii ya elimu kweli nakubali. Serikali ifanye kitu. Hii nimeipenda kabisa.

  Japo nime kuchallenge kidogo nimepnda mawazo yako . Ngoja tuone wengine kama ni sisi watu wa kusubiri ku react tu au we can proact and provide some sound ideas.
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Ndugu mtazamaji,
  Energy,energy,energy!...tatizo kubwa duniani ni nishati.Kama huna nishati,nchi inakuwa very hard to develop.
  Ukinichagua mimi mluguru kuwa rais wako,nitashughulikia swala la nishati kama ifuatavyo:
  1.Nitalipa kipaumbele suala la kusambaza umeme nchi nzima katika kipindi cha miaka nane,sio ishirini na mbili.
  2.Nitaandaa mkakati wa kuhamasisha na ikibidi nitatumia nguvu kuhakikisha utegemezi wetu wa mafuta kutoka nje unapungua kwa asilimia 40 katika kipindi cha miaka mitano.
  3.Nitahamasisha uwekezaji katika sekta ya nishati inayojirudia kama upepo,jua,takataka,bahari nk.
  4.Nitaomba bunge kwa hisani yao wapitishe sheria ya adhabu ya kifo kwa mla na mtoaji rushwa.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii ya adhabu ya kifo nakubalina na wewe kabisa hivi kwa nini waliondaa adhabu hii kwa kuiga iga tu? But kwa ku kuchallnge zile sabbau nyinngine ulizotataja ndio wanasiasa wetu wanatumbia kila siku. May be kivipi yako itakuwa tofauti.

  Hii adhabu ya kifo kama nikiwa kwenye postion nitapend akuona inarudi ingaw imani yangu ya dini haikubalini nayo but kwa manufaa ya taifa Napenda kuona adhabu hii inarudi kwa makosa fulani fulani.

  Safi sana
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Yangu itakuwa tofauti,wanasiasa wetu huwa hawaelezi watafanyaje,mie nitaeleza kwa kina nitawezaje kusambaza umeme katika kipindi cha miaka nane ijayo.Lakini nimefundishwa king'eng'e kwa hiyo mkitaka nimwage terial niruhusuni niongee yai!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kobbello mwaga tu hakuna shida
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  kobello mwaga hicho king'nge tusikie .

  Great thinkers wa JF please mwageni the solutions.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,568
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda sana mikakati ya muda mfupi maana hii mikakati kama ya mkukuta sijui miaka 25! hao waliokuwa madarakani wakati mikakati hiyo inapangwa hawatakuwepo madarakani ni usanii mtupu! na ndiyo maana mikakati hiyo yote haifanikiwi kwa asilimia kubwa sana.

  Mikakati ya muda mfupi mfupi hata ufuatiliaji wake ni rahisi mno ili kuhakikisha inakuwa na mafanikio makubwa sana ukilinganisha na ile ya muda mrefu.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nitabana matumizi kwa kuondoa/kupunguza posho zisizo na maana, kupunguza posho na mishahara ya wabunge na mawaziri, mambo ya ten percent katika manunuzi ya serikali na matumizi mengine yasiyo na maana. Kile kitakachopatikana kitatumika kuboresha miundombinu ya elimu, afya, barabara n.k na kipaumbele zaidi kitakuwa vijijini. Pia kuweka sheria kali za kuwabana mafisadi.
   
 11. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nngefanya kwa ajili ya watu ,na kwa faida ya wengi,
  Ningeenda clinic ya masikio kila wiki, kupimwa macho kila miezi mitatu, kupimwa akili kila mwaka.
   
Loading...