Kodi: Miradiya kikwete

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu JK amewahi kutamka hadharani kwamba ana Ng'ombe 400 na shamba la mananasi ekari kama sikosei 20 (I stand to be corrected on this no.).

1. Well kwa biashara ya maziwa na hata ng'ombe wa maziwa JK analipa kodi?

2. Je yale mananasi akiyatoa kule kijijini huwa analipa kodi ya kijiji na baada ya mauzo?

Wengi wetu jibu la hayo maswali ni rahisi tu, kwamba well who does that? Nani analipa kodi ya kuuza maziwa, miwa au mananasi. Au ndiyo kutaka kumzushia mkulu?

Sasa twende upande wa pili, je Lipumba analipa kodi na ni kiasi gani? Mangula, Makamba na viongozi woote wa CCM waliotangulia wwalikuwa wanalipa kodi? Katibu mkuu wa TLP au Maalim walikuwa wanalipa kodi? Na kama hapana kwa nini? Na kwa nini hii ya Dr. Slaa iwe ni ishu tena wakati huu?

I believe TRA is bigger than this hivyo basi wafanye utafiti na watengeneze mfumo mzuuri wa ulipaji kodi. Binafsi nna uhakika wengi wetu tumelipa hiyo PAYE kubwa kuliko JK aliyolipa toka ameanza kazi to date pamoja na kwamba may be tumeanza kazi about 25 yrs toka yeye aanze. Hatujawahi kuwa mawaziri wala maraisi. Je total income to date ni sawa?

NB: Mods pls msiichanganye hii thread kwanza, at least for a day.
 
Halafu ana kampuni ya mafuta iitwayo AFRO OIL hajai-declare. Hii kampuni ina vituo vya kujazia mafuta karibu nchi nzima. Pia ina meli yake ya kusafirishia mafuta toka uarabuni. Na yeye ni fisadi mkubwa. Kaanzisha kampuni akiwa mjengoni
 
Wakuu JK amewahi kutamka hadharani kwamba ana Ng'ombe 400 na shamba la mananasi ekari kama sikosei 20 (I stand to be corrected on this no.).

1. Well kwa biashara ya maziwa na hata ng'ombe wa maziwa JK analipa kodi?

2. Je yale mananasi akiyatoa kule kijijini huwa analipa kodi ya kijiji na baada ya mauzo?

Wengi wetu jibu la hayo maswali ni rahisi tu, kwamba well who does that? Nani analipa kodi ya kuuza maziwa, miwa au mananasi. Au ndiyo kutaka kumzushia mkulu?

Sasa twende upande wa pili, je Lipumba analipa kodi na ni kiasi gani? Mangula, Makamba na viongozi woote wa CCM waliotangulia wwalikuwa wanalipa kodi? Katibu mkuu wa TLP au Maalim walikuwa wanalipa kodi? Na kama hapana kwa nini? Na kwa nini hii ya Dr. Slaa iwe ni ishu tena wakati huu?

I believe TRA is bigger than this hivyo basi wafanye utafiti na watengeneze mfumo mzuuri wa ulipaji kodi. Binafsi nna uhakika wengi wetu tumelipa hiyo PAYE kubwa kuliko JK aliyolipa toka ameanza kazi to date pamoja na kwamba may be tumeanza kazi about 25 yrs toka yeye aanze. Hatujawahi kuwa mawaziri wala maraisi. Je total income to date ni sawa?

NB: Mods pls msiichanganye hii thread kwanza, at least for a day.

Kodi zote za mapato ya mananasi huwa inalipwa pale pale kijijini kabala ya mzigo kuondoka hii inalipwa na mfanyabiashara anaenunua manansi analipa kodi ya mapato na pia analipa kodi ya kijiji hili Jk huwa analipa na uhakika,hilo la ngombe wa maziwa sina hakika nalo ila sidhani kama atashindwa kulipia...by the way kwann hamuulizi kama hizo biashara alizirithi au kazianza alipokua madarakani?
Kila kitu JK heee.
 
Mkuu haya mananasi nimeyalima tena just a km from where JK farm is kule Bagamoyo sehemu inaitwa Kiwango. Kwa hiyo utaratibu wa hizi kodi naufahamu kiukweli ukweli. Na suala la kurithi au kutokurithi hiyo miradi ni nje kidogo ya mada hii. Ishu ni je analipa kodi?
 
Watz bwana.....yaani mara hii mmemsahau fisadi kikwete............siamini km kuna mtz alimchagua ...
 
kumbe ana ng'ombe 400 katika miaka mitano, miaka kumi atakuwa na ng'mbe zaid ya 800. huyu ****** kesha kuwa
mmasai sasa
 
Kodi zote za mapato ya mananasi huwa inalipwa pale pale kijijini kabala ya mzigo kuondoka hii inalipwa na mfanyabiashara anaenunua manansi analipa kodi ya mapato na pia analipa kodi ya kijiji hili Jk huwa analipa na uhakika,hilo la ngombe wa maziwa sina hakika nalo ila sidhani kama atashindwa kulipia...by the way kwann hamuulizi kama hizo biashara alizirithi au kazianza alipokua madarakani?
Kila kitu JK heee.

wewe ni kiazi kweli, yeye si ndio anaharibu nchi yetu?
 
I think these are cheap stories to entertain kwanini usiulize kodi zote za mapato, PAYE tunazolipa thru our noses zinaenda wapi na how come maisha yanaendelea kuwa magumu, hospitals zetu ndio hivyo tena barabara zetu ndio usiseme sasa what do they do with the money that we have toiled for
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom