Nauri ya ndege Tanzania imeanguka marudufu.Hata wale hamjawahi kupanda midege,ni zamu yenu sasa.Aangali kwa hii mtambo
Uhuwiana wa Nauri za ndege nje na ndani ya Tanzania

Mkuu mbona sijaona detail za kutosha katika hiyo linkNauri ya ndege Tanzania imeanguka marudufu.Hata wale hamjawahi kupanda midege,ni zamu yenu sasa.Aangali kwa hii mtambo
Uhuwiana wa Nauri za ndege nje na ndani ya Tanzania
Mkuu hujamsikia yule bwana mkubwa Mattaka wakati wa kustaafu? alisema yeye pale ATC hata kama sasa hakuna ndege,anajivunia kubadili nembo ya ATC. Hao ndio tunaowapa kuongoza mashirika yetu. Na kwa mtindo huo miaka kadhaa ijayo sijui hali itakuwaje.Hutakiwi kujisifu hata siku moja. Hapo airport JNIA ukienda hakuna hata ndege moja ya Tanzania zimejaa ndege za kutoka nchi za wenzetu sisi tumebaki kumiliki kiwanja tu. Tulikua na kibajaji kimoja kilikua kinaenda Kigoma na Mwanza kwa sasa hakipo tena. Aibu kweli yaani unaenda uwanjani unazikuta hadi Air Burundi wakati wao kila siku walikua wanapigana sie na amani yetu tumebaki na viwanja tu. Ni sawa na kua na mke harafu ukamweka rehani kwa watu wawe wanakugongea tu wewe unabaki jina kua una mke
na hii ni challenge nyingine, miaka 50 ya uhuru ni mpaka kukodisha ndege ili ufike baadhi ya maeneo, ni akina nani hao wa kukodisha hizo ndege ...au shirika lianzishwe likisubiri "Boys II Men" wakiendea forms za kugombea ulaji ndio wapate wateja!?Hivi kuna ndege yoyote inayofanya safari zake Dar - Dodoma au Dodoma - Mwanza?
Nauri ya ndege Tanzania imeanguka marudufu.Hata wale hamjawahi kupanda midege,ni zamu yenu sasa.Aangali kwa hii mtambo
Uhuwiana wa Nauri za ndege nje na ndani ya Tanzania
Hiyo nauli ni mshahara wa miezi sita kima cha chini!Unajua kua Nauli ya ndege kutoka Kigoma kwenda mwanza Return tiket ni sh 630,000/=? Zaidi ya wafanyakazi wa UN unategemea nani atapanda hiyo ndege. Nauli ya Kutoka Kigoma-Mwanza ni sawa na nauli ya Dubai