mafuta ya taa yanatuumiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mafuta ya taa yanatuumiza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Jun 2, 2011.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mie kama mtanzania naumia sana mafuta ya taa kuuzwa 1800/litre ilihali hii nishati kwa sasa
  ni mahitaji ya msingi kwa mtanzania wa kijijini, kerosene imekuwa kama petrol pricewise 2100?
  is this life? wot should we do? naona bado hatujapata uhuru kabisaa, wakoloni wamejibadilisha
  rangi kutoka wazungu na kuwa weusi kama sisi. kikulacho ki nguoni mwako sasa on line
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kama uliambiwa tuko huru uko gizani,sikiliza hizi nyimbo,is this freedom na mickey mouse freedom zote za Lucky Dube utapata jibu!
   
Loading...