Kondomu iliyopasuliwa imekutwa ndani ya chupa ya soda wakati mteja akijiandaa kuifungua kutuliza kiu yake jijini Dar
Kondomu iliyopasuliwa imekutwa ndani ya chupa ya soda wakati mteja...
Ndugu zangu wana JF, nawaombeni sana tujaribu kuwa watu wenye mtazamo wa kusaidiana na kuelimishana, ukweli kuna mada zinazoletwa humu ni nzuri na zenye tija na zipo nyingine ambazo kweli zinakuja...
The Turkey international is suffering from a disc problem which has not been resolved by conservative treatment methods.The 28-year-old midfielder will have an operation in Germany on Monday, with...
Wanajf naomba msaada wenu
mdogo wangu anataka kusafiri
lakini kwenye form za ubalozi wameweka
kigezo cha kuwa travel insurance
Je wanacharge how much? naweza
kupata contact zao kama wapo dar...
By In2EastAfrica - Thu Jun 23, 3:08 pm
* Pipeline targets industries, power producers in Kenya
* Planned to be running in 2015
The study conducted for the EAC by Denmark's COWI assumed the...
By SEBASTIAN MRINDOKO, 15th April 2011 @ 20:00, Total Comments: 0, Hits: 188
A TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by...
hivi hili jeshi la polisi linatupeleka wapi?kwani vituo vidogo vingi vya polisi vinawatumia mgambo(foremen) ktk kusaidia kwenye ukamataji,cha ajabu kuna kituo kimoja huku kuna mgambo kama wanne ni...
siasa nzuri sana aisee
huyu jamaa anazdi kutakata kuliko hata rais wake nakumbuka picha moja akiwa migomban uko anaomba kura anawaimbisha wanakijiji
sio mchezo Mungu akutangulie akulinde mkuu...
Wana JM--hivi kwanini malimbikizo na hele za kujikimu huwa zinachelewa sana tena sana kulipwa ili hali POSHO za kulipana kwenye vikao huwa ni fasta tuuu??? tena huku kwenye halmashauri zetu ndo...
*Yazua malumbano makali, yapitishwa na bunge
*Wabunge wakerwa kampuni za madini kusamehewa
Na Grace Michael, Dodoma
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana walilumbana vikali...
Katika ulimwengu wa leo kumezuka tabia ya wajanja wachache kutumia majina au blend za makampuni makubwa ya kuheshimika au watu maarufu kwa manufaa yao.Kwa kuzalisha bidhaa feki au kutenda matendo...
Ndugu mpendwa
pengine waweza jiuliza kwa nini naenda kuuliza kazi sipati nikiuliza cv yangu ilifika ndio
baada ya muda naambiwa kuna mtu ana jina kama langu na anafanya kazi hapo hapo tena kwa...
Ni barua ya B.G Mabubu kwa mhariri wa gazeti la Mwanahalisi tar 22jun2011.Anauliza hv' mbona kwenye kipindi cha Jk mambo yameharibika mwaka 2006 wakati Jk anaingia madarakan kiwango cha ufaulu...
Labda Ningeanza kuangalia namna serikali yetu inavyofanya kazi na mfumo mzima wa uongozi ambao tunafikiria utafanya hiyo kazi iliyoainishwa ndani ya bajeti. Uongozi sehemu kubwa ni wakisiasa...
Wednesday, 22 June 2011 21:40
Boniface Meena
MWANASIASA mkongwe na kada maarufu wa CCM, John Malecela, amezungumzia afya yake kutokea nchini Uingereza, akieleza kuwa inaendelea vizuri baada...
Mwanangu amepewa barua ya kuhama makazi anayoishi kwa kisingizio yanavunjwa na anatakiwa kuhama si chini ya miezi sita.
Anaishi nyumba za AICC SOWETO ... nini kinaedelea?
AICC hawawezi kujenga...