Nape ukakague namitambo ya symbi.... Ubungo !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ukakague namitambo ya symbi.... Ubungo !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]msanii wetu wa wiki nnape nnauye akikagua mitambo TSN ,Hope next ni SYMB....uBUNGO[​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Picha ya juu kama anataka kuuliza mbona amjaniweka hotuba yangu ya majuzi kijijini...naniiinoo......
  Big up nape
   
 3. e

  ebrah JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mnmmmh! anaelewa hata kitu, kunatofauti ya kukagua na kutembelea, huyu ametembelea ili apate cha kuwadanganya watoto wa primary wanaofika kwenye mikutano yake! kwani mara ngapi hata JK ametembelea mashirika akayasifia anaondoka nyuma yake unaskia skendo? hawana jipya wanajaribu kusugua magamba, kwani wameshindwa kuyavua!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  yeye ni nani mpaka akague?fani gani zaidi ya usanii
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Jamani kidume kimenenepa mpaka nguo zimeanza kumbana
   
Loading...