TANESCO msitake tuwatukanie wazazi wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO msitake tuwatukanie wazazi wenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 22, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  Umeme umekatika tangu jana hadi leo haukjarudi, hamjatupa sababu wala kututahadharisha, mnatutafuta nini wakati tusha lipa luku zenu?
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bora wewe nyumbani kwako mie tokea jpili si mchana si usiku si jioni hakuna umeme wanarudisha unakaa hata nusu saa haufiki wanakata tena nyambaff zao kila siku mimi nakuja kazini nguo hazijanyooshwa pasi nyie Tanesco nyie waone sura zenu zilivyo mbaya mtoage hata matangazo basi kusema kuna mgao ili tufahamu lakini mnakata umeme mnavyojisikia....wallah leo lazima niwatembelee hapo mnieleze kinachoendelea
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ******* kweli TANESCO
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  wanaudhi, wanastahili kila tusi chini ya mbingu.
   
 5. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Acheni kulalamika tuu, kama vp kesho tuandamane kupinga utendaji wa tanesco.
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Asubuhi ya leo bara bara ya Mandelanimekutana na magari matatu ya wale wajinga waliofundishwa kupiga bila sababu ili mradi waweke wapumbavu wengine madarakani (FFU) sijui walikuwa wanaelekea wapi? nikajua labda watu wamenaza kuandamana kwa sababu ya umeme, upuuzi mtupu, shen...............zao kabisa
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tanesco ituombe radhi. Mi nyumbani kwani silipi luku, nililipa laki yangu siku nyingiiiiii, ninachofanya ni kukununua umeme wa buku mbili wa kuzugia
   
 8. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  hii ndio tz halafu asubuhi na wao wanaamka wanaaga majumbani wanaenda kazini,wapi badra masoud we..........
   
 9. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tatizo haliko kwao TANESCO liko kwa waliowaweka na kuwapa kiburi.
  Ole wao wananchi wakichoka kuvumilia
   
 10. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yaani umeme sisi tunapata nadhani masaa matatu kwa masaa 24 yaani siku moja. Inaboa sana ndugu zangu hakuna tangazo wala nini inauma sana.
   
 11. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hizi kauli haziwezi kwisha ni sawa na kelele za chura hazimzuii Punda kunywa maji...hawa SENGENESCO kuna haja ya kuwavulia gamba si kusema sema maneno tu ...tuanze na main root ya problem kisha hizi zingine automatically zitakuwa rectified ...
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  leo nimekuja ofisini bila kunyoosha nguo! Tumekosa umeme toka saa 11 asubuhi mpaka leo hii bado haujarudi!! pumbav zao Tanesco
   
 13. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa Symbion wamekuja Tz kufanya nini...... mbona kabla hawajaja mambo yalikuwa afadhali??? yaani ni tabu tupu...
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kweli wanatukera mkuu,twende nao taratibu watatupatia tu umeme.
   
 15. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Symbion hawajatoa 10% ukiona hivyo!!
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Wanalambwa nyu.... nini hawa TAA ZIMA,muhimu hapa ni vitendo watanzania tuingie barabarani,huu ndo muda wa kutiana adabu,kama vipi BAVICHA watuongoze tuzame road
   
 17. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Yaani kwa kweli wanakera hawa p********** zao kabisa kwetu j2 alfajiri wamekata kutwa nzima hakuna umeme ukarudishwa jioni saa 12 ilipofika saa 2 usiku wakakata tena hadi 5:30 usiku alfajiri ya ya j3 saa 12 kasorobo wakakata tena hadi jana jioni saa 12 ukawaka robosaa ukakatika uarudi saa 5:30 ukawaka nusu saa uakkatika tena hadi sasa. Hivi kwanini wasiseme tu kuwa ni mgao watu wajue moja. nimejaribu kudadisi kwa wafanyakazi wao wanadai eti mabwawa hayana maji kumekauka sasa najiuliza zile mvua zilizonyesha mabwawa hayakujaa maji????

  haya mateso yataisha lini, umeme hakuna,gesi ya kupikia iko juu,mkaa ndio usiongee mafuta ya taa ndio kabisa watu wataishije jamani hii serikali yetu haya ndio "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA au BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA?????"
   
 18. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mkuu umekereka kama mimi, nafikiri kuna haja ya kuchukua hatua juu ya hili. ili kuepuka hizi lawama naona Tanesco inabidi watangaze ratiba mpya ya mgao kuliko kufanya kimya kimya kama wanavyofanya hivi sasa.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  daaah mi ndo nishasahau matumizi ya taa, wanarudisha wakati nimelala na kukata kabla sijaamka. ila afadhali tu jumapili mchana hawakati ndo muda wa kunyoosha vivazi vyote
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Daah nimependa hiyo hapo Easy si mchezo
   
Loading...