Wafanyakazi wengi wanatumia majina si yao kazini@@

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ndugu mpendwa
pengine waweza jiuliza kwa nini naenda kuuliza kazi sipati nikiuliza cv yangu ilifika ndio
baada ya muda naambiwa kuna mtu ana jina kama langu na anafanya kazi hapo hapo tena kwa
interview ulioomba ..hii ndio tanzania...

Watanzania wengi tumeziba nafasi za watu kwa kutumia vyeti feki yaani majina si ya kwelina mbaya
zaidi unaona mtu huyo huyo leo hii anaitwa mkurugnzi wa manispaa fulani ama wizara fulani
hii lanaa ni lazima tuifute vinginevyo vijana wanaomaliza chuoni wataishia kushika gamba la first class
je wewe ni mmoja wapo

unaonaje ukaanza kujivua gamba wenzio wenye kusomea kile unachofanyia kazi waanze kuonyesha ujuzi wao
si mbaya imefika wakati watu wnaajiriwa awaajui a wala z yaani tena ni mabosi na wapo wa vyeo vya chini
hawa ndo awahesabiki ni kweli kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake hata hivyo iwe katani basi sio kila
ofisi imejaa plastick jamani...mbona hivi sasa hivi vyeo vya nini kama vinagwiwa
 
Wewe
tomas =abdallha
andrew=jumanne
masika=mbokomu
siriale=aikaruwa
anna=asha
mashaka=mtimkavu
zawadi=siawezi

nyie watu hayo majina mmeyapata wapi ya kufanana hivyo
 
KKuna wale walichakachua mapema majina kwenye primary school etc,vyeti vya wengine etc.
 
Back
Top Bottom