Ukimwamini Mungu unatakata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimwamini Mungu unatakata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  siasa nzuri sana aisee
  huyu jamaa anazdi kutakata kuliko hata rais wake nakumbuka picha moja akiwa migomban uko anaomba kura anawaimbisha wanakijiji
  sio mchezo Mungu akutangulie akulinde mkuu jamaa nimepata sifa yake kubwa ni mtoaji kwa Mungu si mchezo
  Mungu akuhifadhi mkuu

  [​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  dah hiyo picha unanikumbusha rais mmoja wa marekani kijana mweusi si mchezo dunia nzima aikulala kusubiri matokeo
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamaa ana ndoto za kugombea Urais wa Tanzania miaka ijayo.
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hili ndio tatizo la "ombwe la uongozi", kila mtu anadhani anaweza kuwa Rais..
   
 5. e

  ebrah JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo la watu wanaofikiri kwa kutumia viungo tofauti na ubongo! ina maana kwenu kunawiri ni sifa ya kuwa raisi? kwanza ni nani huyu?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  jamani huyu ni mpendwa tu wala hana issue na urais ila Mungu anamtofautisha zaidi ya Rais anaemuongoza
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  kama kunawiri ni sifa ya kumwamini Mungu, basi watu kama kina Yohana mbatizaji, Yesu, Stefano, petro, Yohana, Batholemeo na wengine kama hao hawakuwahi kumwamini Mungu. Maana hawakutakiwa sii tu kunawiri bali hata haki ya kishi hawakupewa. Kote walikokimbilia walitafutwa na kuuwawa hadharani. Huku upande wa pili kwa waamini Mungu wakinawiri na kukabiziwa hazina ya nchi, mfano wao ni kama kina Nebkadneza,Farao,Abmeleck,Kaisari,Herode, na wote wa namna yao. Hawa hata wafikiapo kufa katika uzee wao hupata wa kuwazika na kuwalilia maana wameacha urithi mnono kwa vizazi vyao baada yao. Chunguza hata zamani zetu hizi tunazoishi kama kuna walionawiri kama mafisadi, hata waliojificha kwenye mgongo wa dini wakiamua kushikamana na hawa mafisadi katika deal zao, nao ghafla bin vuu Mungu huwanawirisha. Ole ni kwa wale walio amua kutokijisalimisha kwenye ufisadi na kuamua kumtii mungu kwa kila jambo, na kuishi kwa biashara halali kabisa kulingana na neno. Hakuna rangi wataacha kuona!!
  .
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwani huyu ni nani!??
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Joel na mkalimani Nyaradu - Makongoro :)
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  huyu si ndio jana aliambiwa hivi '' huyu waziri mdogo anatwambia nini''?

  huyu jamaa anauza sura sana na mpenda sifa toka yuko shule miaka hiyo alipojificha nyuma ya mwavuli wa ulokole
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  anafikiria kwa kutumia ma-****
   
Loading...