Malimbikizo hayalipwi kwa wafanyakazi--posho zinalipwa fasta-whyyy??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malimbikizo hayalipwi kwa wafanyakazi--posho zinalipwa fasta-whyyy???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bartazary bon, Jun 23, 2011.

  1. b

    bartazary bon Member

    #1
    Jun 23, 2011
    Joined: May 19, 2011
    Messages: 11
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Wana JM--hivi kwanini malimbikizo na hele za kujikimu huwa zinachelewa sana tena sana kulipwa ili hali POSHO za kulipana kwenye vikao huwa ni fasta tuuu??? tena huku kwenye halmashauri zetu ndo usiseme.mfano mwaka jana kuna kada mbali mbali ziliajiliwa selikarini lakini wengi wao hawajalipwa haya malimbikizo na hata hela za kujikimu,lakini cha kushangaza POSHO zinaendelea kulipwa daily.

    Kwa hili wana JM -mnalizungumziaje.NAWAKILISHA
     
  2. Edson

    Edson JF-Expert Member

    #2
    Jun 23, 2011
    Joined: Mar 7, 2009
    Messages: 9,140
    Likes Received: 570
    Trophy Points: 280
    tanzania zaid ya uijuavyo
     
Loading...