Uongozi wa Kikwete mbona mambo hv?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa Kikwete mbona mambo hv?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NDOFU, Jun 23, 2011.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni barua ya B.G Mabubu kwa mhariri wa gazeti la Mwanahalisi tar 22jun2011.Anauliza hv' mbona kwenye kipindi cha Jk mambo yameharibika mwaka 2006 wakati Jk anaingia madarakan kiwango cha ufaulu darasa la saba ilikuwa 71% mwaka 2009 ikaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu ni 49%.Sekondari 2006 ,10% ndio walifeli mwaka 2010 imeelezwa kuwa 50% ya wanafunz walifeli. Advance mwaka 2006 ni 3% tu walifel lakin mwaka 2010, 6% wanafunz walifel.Mfumuko wa bei 2006 mkate super loaf ilikuwa sh 300 leo ni sh 1000,mafuta petrol 2006 lita ilikuwa 1000 leo ni sh 1900, maharage 2006 kilo 1 ilikuwa sh 600 leo ni sh 1300 kwa kilo.Nauli kwenda Shinyanga ilikuwa sh elfu 20 leo ni sh elfu 45.Anauliza kinachosababisha ni uongozi wa juu kutokuwa imara au kitu gani?
   
Loading...