Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani sina elimi ya juu sana lakini nina miradi inayonifanya niishi mjini. Je nikienda ughaibuni nitaboresha maisha na kipato changu au nitayaangamiza? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimeamini nchi hii inaendeshwa na wafanyabiashara,yaani ndani ya wiki moja Serikali imetangaza punguzo la bei ya mafuta, baada ya wafanyabiashara kugoma kuuza kwa bei iliyotangazwa na serikali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu habarini za w/end?naishi Arusha nategemea kusafiri na kuelekea Dar kesho,nia na mazumuni ni kutaka kujua wapi haswa nikiwa Dar naweza kupata hizo suruali kwaajili ya wamama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nimekuwa kwenye mpaka wa malawi na tanzania, kufika jioni mpaka unafungwa eti hakuna tena muvumenti za malawi tz. kibaya zaidi funguo za gate anazo inchaji halafu hayupo getini. inapotokea...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Nikiwa maeneo ya Sekei nimesikia risasi zikirindima sehemu za ikulu ndogo. Baada ya kuulizia nikaambiwa kuwa kuna vijana walitokea kwenye vichaka vya mtoni wakapanda juu ya paa la ikulu bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania ni vizuri mafuta wanunue kwa wale tu ambao hawakuweka Mgomo... Wale waliojifanya kuweka Mgomo nao wananchi vizuri wafanyie mgomo na mafuta yao sababu hawana upendo kwa Watanzania.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Arsenal have reached an "agreement in principle'' with Barcelona for the sale of captain Cesc Fabregas, both clubs have confirmed. GettyImagesCesc Fabregas will undergo medical in Barca • Pep...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mlianza na mgao wa maji tukakubali,ukafuata wa umeme tumekaa kimya,mmeleta wa mafuta tunaumia, chondechonde msilete mgawo wa bia, hapo hatutaelewana coz hizo ndo zinazo tusaidia kuduwaza akili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kujiuliza kwanini malipo ya kituo cha matangazo ya television cha DSTV yanafanywa kwa dollar! Ina maana hata wao(dstv) wanalipa kodi kwa USD? Kwa kifupi ni kwamba hawa jamaa bei zao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukikwete = Giving simple answers/solutions to complex problems or issues. Ukikwete = kutoa majibu mepesi/rahisi kwa matatizo au masuala magumu Kumbuka Ukihiyo, Umaumba, Kukolimbwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapenzi wa JF, kwa muda mrefu wakati nikiwa nyumbani Tz nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wakipendelea kula nyama ya kuku wa kienyeji. Hata katika maeneo yale tunayokamata moja baridi moja...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
WanaJF! Mi hii inaniboa sana! Unakuta THREAD tatu imeripoti mwongozo ya aina moja zaidi ya mara 3,kw mfano mambo ya Ewura na Serikali yake ina nyingine kama hiyo unakuta ipo humu jamvini na kibao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzanian nationality law Tanzanian nationality law is the law which deals with citizenship and other forms of nationality. Tanzanian Citizen is anyone who is in possession of citizenship to the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamii kwanza naomba niwatakie heri ya Mwaka mpya 2011. Pili nauliza hivi ni blog gani ambayo naweza nikawa napata habari za matukio mbalimbali (habari latest) Tanzania pamoja na picha zaidi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Chadema yang`ang`ania kumwanika Zombe katika mauaji Na Thobias Mwanakatwe 14th August 2011 B-pepe Chapa Maoni Abdallah Zombe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sipendi kupinga unachoamini mwenzangu ila ninachojua waa mini mtume saw..linapokuja swala la msalia mtume najiliza utamsaliaje mungu jamani wakati sisi ndio tunatakiwa kumwomba atuombee naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
2K Views
professor mmoja tz amesema ni aibu kwa nchi kama Tanzania, kukumbatia Kiingereza, kitendo alichosema ni sawa na kuwatengeneza wasomi wenye uwezo wa kukariri badala ya kuelewa wanachokisoma...hivi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WADA WANGU NAOMBA SANA MSAADA WENU NIWEZE KUPATA NAFASI YA KUFUNDISHIA(PART-TIME AU PART-T IME) KAMA MKUNFUZI MSAIDIZI (TUTORIAL ASSISTANT) KATIKA VYUO VYA TANZANIA PUBLIC SERVICE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomben msaada wenujamani kabla ya saa nne nasikia ku bleed jamani nimesikua taarifa ya habari najaribu kunywa maji hata hayashuki uuuuwiiiiiiiiiiii e mungu we nisaidie kiumbe chako kilichokataa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba tukumbushane wachezaji wa timu ya naigeria ya miaka 1998,ambayo ilikuwa inatupa raha wa afrika,na wazungu walikuwa wakiumiza kichwa wanapokutana nayo.Ila kwa kizazi hiki sijui...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…