hivi hii nchi inalala?

hivi hii nchi inalala?

Ginila Nyeura

Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12
Reaction score
11
nimekuwa kwenye mpaka wa malawi na tanzania, kufika jioni mpaka unafungwa eti hakuna tena muvumenti za malawi tz. kibaya zaidi funguo za gate anazo inchaji halafu hayupo getini. inapotokea imejensi mpaka mkuu atafutwe ndo mambo yaende, ktk hali ya kawaida mie naona mtindo huu ukomeshwe maana zile enzi za nchi kulala zimekwisha! tuamke sasa tuache wananchi ndo walale na siyo kuilaza nchi!!!!!
 
Back
Top Bottom