Nani anaiongoza tanzania jamani;wafanyabiashara ,mafisadi ama familia ya kikwet??e | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anaiongoza tanzania jamani;wafanyabiashara ,mafisadi ama familia ya kikwet??e

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 14, 2011.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Naomben msaada wenujamani kabla ya saa nne nasikia
  ku bleed jamani nimesikua taarifa ya habari najaribu kunywa maji hata hayashuki
  uuuuwiiiiiiiiiiii e mungu we nisaidie kiumbe chako kilichokataa kuchana passpport ya nchi yake
  na sasaa kinataabika na serikali ya mafisadi
  kweli riziwani aanatisha
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Pole mtanzania mwenzangu, kwa sababu ndo tupo hapa lets wait and see, you and I
   
 3. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Niokoe mwenzako nakosa pa kuelekea na serikali hii chafu yenye dhambi kuliko wazinzi wafiraji sijui tunaenda wapi mungu wangu wafanyabiashara wanatupeleka wanapotaka wao ewe silaaaaaa jamani hayo maandamano ya kila siku yako wapi???jamani tushachoka
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Muda si kitambo yatatimia, heri tungekuwa na pakukimbilia wangesalimika, lakini hatuna pa kwnda tukiwasha moto watatupenda wenyewe, wako wapi akina Hosni Mubarak?? sembuse wakwere hawa!!, the day comes and it's so near!!
   
 5. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Lini ndugu yangu wametuvua nguo za nje sasa wanaanza kutuvua hata nahizi chuPi za arsenal na barcelona
  tulizojihifadhi jamani sio uungwana kabisa kabisa
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mbona sielewi ?
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wewe mwenyewe unakielewa ulichokiandika hapa? Maana unaandika utafikiri wote tupo kwenye akili yako na mawazo yako, na kana kwamba fikira zetu ni kama zako. Sisi tunajua tulimchagua Rais Kikwete ndiye anayeongoza nchi, wewe ulitaka kuuliza nini, baada ya kuona nini?
   
 8. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,600
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna nini jamani mbona hamuweki vitu wazi? Au mpaka tuwape mji? Au ni lile suala la mafuta? maana nasikia kuanzia kesho jamaa wa mafuta wanarudisha bei zao; wanadai liwalo na liwe!!!
   
 9. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Laaaaa! Unatia hurumaaaaa" ndo hivo ndugu yangu, hii ndo Tanzania inayotangazwa kila siku kwamba ni nchi ya amani.
   
 10. Pelosi

  Pelosi Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mafuta mkuu...

   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Basiasi natumaini hapo hautumii MASABURI yako kufikiri kisha ndio ukaanzisha hii THREAD...
   
 12. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,600
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu aliwahi kuuliza Tahrir Square yetu ni wapi! kwa kweli nami pia ningependa kujua!!!
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sijaelewa chochote naona mazonge tu...
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Auto Pilot..
   
Loading...