Msalia mtume inamaanisha nini jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msalia mtume inamaanisha nini jamani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 14, 2011.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Sipendi kupinga unachoamini mwenzangu ila ninachojua
  waa mini mtume saw..linapokuja swala la msalia mtume najiliza utamsaliaje mungu jamani
  wakati sisi ndio tunatakiwa kumwomba atuombee
  naomba msaada
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Mtume sio Mungu. Usichanganye hivyo vitu viwili tofauti, Mtume ni binaadam kama wewe na mimi na Mungu ni:

  Quran: 112: 1-4

  بسم الله الرحمن الرحيم  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]
  Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

  Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.  Hakuzaa wala hakuzaliwa.


  Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Inamaanisha yupo katika hali mbaya, mswalieni
   
Loading...