Mafuta tanzania.

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Watanzania ni vizuri mafuta wanunue kwa wale tu ambao hawakuweka Mgomo... Wale waliojifanya kuweka Mgomo nao wananchi vizuri wafanyie mgomo na mafuta yao sababu hawana upendo kwa Watanzania.
 
Kweli kabisa.hasa engen tusinunue mafuta kwao.mi tayari ni msimamo wangu na bp wakijauza tusiende huko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom